Hakijatoa taarifa rasmi
Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi
Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!
Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote...