chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutumia faini za barabarani kama chanzo Cha mapato kwenye bajeti

    Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi kuwa serikali inapohitaji hela ya ziada huwabana trafiki wa barabarani kutumia nguvu nyingi kukusanya...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeongea na Rais Samia, vyama vya siasa visiwe chanzo kutugawa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna vya siasa vinavyowagawa na kuwafanya waendelee kuwa maskini huku viongozi wachache wakinufaika na...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee ameanzisha mahusiano na 'jini' na anacheza na chanzo cha kifo chake. Sidhani kama atamaliza mwaka

    unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni. imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kula hela za wanaume ambao hamjawapenda

    Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi. Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana. Unaweza fugwa usi olewe, ewe binti acha kula Cha mwanaume kama huna mpango nae
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  12. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mwanamke wako Kukudharau/ Kukushushia Heshima

    Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri, anakudharau na kukupandishia sauti hadi unatamani umpige. Unajihisi huna uhuru tena ukiwa naye. Hutaki ata...
  13. JamiiForums Tanzania Uwezo mdogo kwa Wauguzi kugundua Saratani ndio chanzo cha kushindikana Matibabu

    Uwezo mdogo wa wauguzi kutambua mapema ugonjwa wa saratani kwa watoto umetajwa kuwa changamoto mojawapo inayotatiza matibabu ya ugonjwa huo. Katika kutatua changamoto hiyo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ikishirikiana na Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various forms all over the world, and claims millions of members. All of these various forms share moral and...
  15. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa. . Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  18. JamiiForums Tanzania Video: Nini chanzo cha 'ujasiri' huu dhidi ya trafiki?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari. Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Chanzo cha mali ya hekima: Majina ya Barahatiyah na faida zake

    Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu, Photo by Rakims on Rakimspiritual.com na Mwenyezi Mungu utabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…