chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. #COVID19 Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  2. #COVID19 Waliopatiwa chanjo waombwa kutoa ushirikiano wanapotakiwa kufanyiwa tafiti

    Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao. Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za waliochanjwa ili kuona wastani wa kinga zao na namna wanavyoweza kujikinga. Kauli hiyo imetolewa leo...
  3. Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu

    Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu.Takwimu za wizara ya Afya zinaonyesha kuwa jumla ya watu 5,029,901 wamepewa chanjo. Kati yao, 3,545,060 wamepata dozi moja huku 1,484,841 wakiwa wamepata dozi zote mbili. Watu 1,012,457 wamepata dozi ya kwanza ya chanjo...
  4. #COVID19 Umoja wa Afrika kununua chanjo milioni 110 za Moderna

    Umoja wa Afrika (AU) unakusudia kununua dozi milioni 110 za chanjo ya COVID-19 kutoka Moderna Inc katika mpango ulioratibiwa kwa sehemu na Ikulu ya Marekani, White House. Dozi hizo zitatolewa katika miezi ijayo, huku milioni 15 zikiwasili kabla ya mwisho wa 2021, milioni 35 katika robo ya...
  5. #COVID19 Marekani: Waliopata chanjo ya J&J wakimbilia kupata "booster"

    Wakuu hii habari nimeisoma Yahoo, na nimeC&P baadhi ya habari yenyewe ====== Jennifer Lopez, 58, had jumped at the chance to get the Johnson & Johnson vaccine last March, but soon began feeling regret when data showed it might be less effective than other coronavirus vaccines. So, when the...
  6. #COVID19 Chanjo ya COVID-19

    Ofisini kwetu limekuja agizo kwamba wafanyakazi wote tunatakiwa kuchanja tuwe na certificate ya COVID-19. Binafsi nipo mikoa ya kanda ya ziwa huku ambako wengi hawakubaliani na chanjo. Nilijiamini SIKU nikienda NI kufika Tu na kuchanja maana wengi kitaa wanasema hawachanji. Sasa Jana...
  7. #COVID19 Afisa Elimu Simanjiro: Viongozi wapate chanjo hadharani ili kuhamasisha wananchi

    VIONGOZI wa Serikali na vyama vya kisiasa nchini wameaswa kupata chanjo ya Uviko-19 hadharani, ili kuhamasisha jamii ishiriki shughuli hiyo kuliko kuchanja wenyewe bila kuonekana. Ofisa elimu ya msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Silvanus Tairo amesema endapo viongozi...
  8. Mamlaka husika ichunguze uthabiti wa chanjo ya kuku ya Tatu Moja

    Wasalaam wakuu, Kwa sisi wafugaji hasa wa kuku hivi karibuni tulipata afuheni ya chanjo mara baada ya kuingia sokoni kwa chanjo ya kuku ya tatu moja ambayo kwa maelezo inatoa kinga kwa magonjwa matatu Newcastle, mafua na ndui ambayo hapo awali ilihitajika uingie gharama kununua chanjo hizo...
  9. #COVID19 Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  10. #COVID19 Rais Samia: Kuchanja kunatupunguzia gharama kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi" Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
  11. #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden aahidi msaada zaidi wa chanjo kwa Afrika

    Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika. Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
  12. #COVID19 Nigeria: Watumishi wa Umma wasiopata Chanjo kutoruhusiwa Ofisini kuanzia Desemba

    Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya Raia wake wapatao Milioni 200, ikielezwa Chanjo zinazoendelea kupokelewa zinatarajiwa kuongeza kasi ya...
  13. F

    #COVID19 Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

    Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena? Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo...
  14. DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  15. #COVID19 Marekani kufungua Mpaka wake wa Ardhi kwa waliopata Chanjo

    Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus. Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
  16. #COVID19 Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

    Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021 Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
  17. #COVID19 DC Mpogolo: Watumishi wa Afya msiwe na kigugumizi katika kupata chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo. Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
  18. #COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  19. Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

    Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
  20. Humphrey Polepole apinga chanjo ya Malaria, amesema haiaminiki

    Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu. Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…