chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. The Assassin

    Wanasayansi: Chanjo ya Covid 19 huharibu mzunguko wa Hedhi kwa wanawake

    Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa. Utafiti huo umefanywa na University of Illinois na Washington University School of Medicine umebaini kua 56% ya wanawake waliochanjwa covid 19...
  2. JanguKamaJangu

    WHO: Watoto Milioni 25 wamekosa chanjo za kawaida kwa sababu ya COVID

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa zaidi ya watoto Milioi 25 wamekosa kupata chanjo mbalimbali za magonjwa tofauti kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa UVIKO-19. Ripoti ya WHO na UNICEF imeonesha baadhi ya magonjwa yaliyokosa chanjo tangu mlipuko utokee...
  3. kaligopelelo

    Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

    Habari za asubuhi Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa? Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa...
  4. beth

    Ripoti: COVID-19 yaathiri utoaji chanjo muhimu kwa watoto

    Takriban Watoto Milioni 25 duniani walishindwa kupatiwa kwa wakati Chanjo muhimu zinazowalinda dhidi ya Magonjwa mbalimbali mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la Watoto Milioni 2 ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020 Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  5. Lady Whistledown

    Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

    Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika. Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa...
  6. rich1

    CHANJO ya Corona Kiteto-Manyara

    Kwema ndugu zangu. Naomba kutoa yangu ya moyoni naona kama Serikali inatuchanganya kwenye masuala ya chanjo ya Corona maaana kwenye vyombo vya habari wanasema n hiari lakini huku Kiteto mkoani Manyara imekuwa tofauti wakina mama wanazuiwa kupima watoto clinic mpaka upate chanjo ya Corona na...
  7. JanguKamaJangu

    Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  8. The Dictator

    COVID-19: Pfizer wasema " tulihamia kwa binadamu na kuacha kufanyia majaribia ya chanjo kwa wanyama kwa sababu waliendelea kufa."

    Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo. Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
  9. Dokta Uchwara

    Bila Magufuli tungesalimika magonjwa na chanjo zinazoendelea duniani?

    Bila ungangari wa kile chuma, tusingesalimika na maigizo yanayoendelea duniani ya magonjwa na machanjo ya ajabu ajabu. Mara corona, mara sijui monkeypox, mara nini! Kwa misingi ile ya ungangari aliyoiweka, hata aliyemfuatia anaogopa kufanya jambo la kipuuzi kwa kuhofia kusutwa na wananchi...
  10. funaku

    NIMR yaanza utafiti wa chanjo ya COVID-19, kongole kwao

    Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi. Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya tiba yaani NIMR wanaendelea na utafiti wa chanjo ya covid 19.hili ni jambo jema sana na linapaswa...
  11. Analogia Malenga

    63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  12. Analogia Malenga

    Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

    Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
  13. JanguKamaJangu

    DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  14. dubu

    Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  15. Lady Whistledown

    Wanajeshi walevi waua 15 mashariki mwa DR Congo

    Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia. Haya yanajiri baada ya watu sita kujeruhiwa wakati wanajeshi waliporusha guruneti kwenye umati wa watu walipokuwa wakijaribu...
  16. Lady Whistledown

    Chanjo ya mpya ya Valneva imeidhinishwa kutumika nchini Uingereza

    Inatengenezwa na Valneva, kwa kutumia teknolojia ya jadi zaidi - sawa na jinsi chanjo za polio na homa hutengenezwa. Uingereza ilipaswa kupokea dozi milioni 100 za dawa hiyo, lakini serikali ilighairi mpango huo mwezi Septemba kutokana na kutokuwa na uhakika nazo Dk June Raine, mtendaji mkuu...
  17. Candela

    Chanjo ya Covid ni uongo mtupu kwa viongozi wetu

    Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani. Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu. Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
  18. yuda75

    Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda. Je, niwape chakula gani ili...
  19. enzo1988

    Sputnik V’s effectiveness for HIV-positives revealed

    Taarifa zinasema kuwa chanjo ya Corona kutoka Urusi (Sputnik V) zinaweza kukupa kinga dhidi ya kirusi cha H.I.V kwa asilimia sabini na tisa (79%)!!!!. Hapa Condom haina ujanja tena, Serikali tuleteeni hii chanjo haraka iwezekanavyo ili yale mambo yetu yawe bila nailoni kwani tumechoka kutumia...
  20. Roving Journalist

    Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
Back
Top Bottom