BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,379
- 8,123
Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa watu 449,416 sawa na 26% ya watu milioni 1.71 waliotakiwa kurudi Julai 31,2022 kwa ajili ya dozi ya Pfizer hawakurudi, huku wengine 416,869 sawa na 24% waliotakiwa kurudia dozi ya pili ya Pfizer Agosti 14, 2022 hawakurudi
Taarifa hiyo pia imeonesha Mkoa wa Dodoma umeongoza kwa idadi ya waliochanja kwa 85% na mkoa wa mwisho ni Songwe ambapo ni 18.6% tu ya watu wamepata Chanjo ya COVID.19.
Hadi kufikia sasa waliopata Chanjo kamili ya COVID-19 ni watu milioni 15.96 (51.92%) ya wananchi milioni 30.74 wenye miaka 18 na zaidi.
Serikali inakusudia kutoa Chanjo ya Uviko-19 kwa wananchi zaidi ya milioni 21 ambao ni 70% ya wananchi milioni 30.74 wenye miaka 18 na zaidi ifikapo Disemba 2022.
WIZARA YA AFYA