#COVID19 CHANJO ya Corona Kiteto-Manyara

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema ndugu zangu.

Naomba kutoa yangu ya moyoni naona kama Serikali inatuchanganya kwenye masuala ya chanjo ya Corona maaana kwenye vyombo vya habari wanasema n hiari lakini huku Kiteto mkoani Manyara imekuwa tofauti wakina mama wanazuiwa kupima watoto clinic mpaka upate chanjo ya Corona na wanadai wamepata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mzee Makongoro Nyerere. Kuna hospitali na vituo vya afya ambavyo ni lazima uchanje ndio upate huduma.

1. Hospital ya wilaya ya Kiteto-Manyara
2. Kituo cha afya(Pandisha)
3. Kituo cha afya Engusero
 
Papai lina corona.....kaka tuchati

Nanasi lina corona....kaka tuchati

Hadi oili chafu ina corona?

Mwenyezi Mungu mtukufu mlaze pema Magufuli
 
Back
Top Bottom