chang'ombe

Chang'ombe is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 27,622.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Aisee kumbe hadi leo Tabata Chang'ombe barabara kimeo!

    Aisee leo bhana nimepata nafasi ya kupita Barabara ya Tabata Chang'ombe, nilichokutana nacho kimenishangaza sana. Nilipita njia hiyo kwa dharura kwa sababu daladala niliyopanda ikitokea Mwenge kuja Tabata Segerea ilikwepa foleni, tulipofika Barakuda, tukaingia boda la Chang'ombe. Huku...
  2. B

    KERO Barabara iliyojengwa Keko ni ya kupita gari moja tu, gari likiharibika itakuwaje?

    Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje? Wanaohusika naomba mlitafakari...
  3. House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  4. Long course ya umeme ya VETA Chang'ombe inachukua miaka mingapi?

    Jamani naomba kuuliza? Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi? Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
  5. Taa za kuongoza magari Chang'ombe Polisi zifanyiwe marekebisho

    Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke. Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika...
  6. Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
  7. Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

    Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…