Long course ya umeme ya VETA Chang'ombe inachukua miaka mingapi?

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
300
276
Jamani naomba kuuliza?

Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi?

Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
 
VETA wanatoa Courses zao ktk mfumo wa LEVELS I, II na III. Hapo kila level ni 1 yr. Kutoka level 1 kwenda nyingine kuna EXAMS. Lazima ufikie PASS MARK flani ili uweze kuingia level inayofuata!

Kwa kawaida VETA wanachukua LEVEL I na II January. Maombi yanaanza August. Interview inakuwa October. This year interview itakuwa October 1. LEVEL III wanajoin July.

Ada ya VETA ni 298,400 na imejumuisha NHIF, Meals, Koti, Tuition Fees.

ANGALIZO: Sio kila Chuo cha VETA kinatoa level III. Angalau VETA centres nyingi zinatoa level I na II.
 
Nashukuru!!!!!ila iyo interview huwa inahusiana na nini?kwa wale mwaka wa kwanza
 
VETA wanatoa Courses zao ktk mfumo wa LEVELS I, II na III. Hapo kila level ni 1 yr. Kutoka level 1 kwenda nyingine kuna EXAMS. Lazima ufikie PASS MARK flani ili uweze kuingia level inayofuata!

Kwa kawaida VETA wanachukua LEVEL I na II January. Maombi yanaanza August. Interview inakuwa October. This year interview itakuwa October 1. LEVEL III wanajoin July.

Ada ya VETA ni 298,400 na imejumuisha NHIF, Meals, Koti, Tuition Fees.

ANGALIZO: Sio kila Chuo cha VETA kinatoa level III. Angalau VETA centres nyingi zinatoa level I na II.
Mkuu hiyo ada ni bweni ama?
 
Naimani mu wazima wa afya,

Naomba kuuliza kuhusu kozi ya mda mrefu ya umeme wa magari inapatikana Chang'ombe veta
 
Back
Top Bottom