changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Samia anaenda kuzindua soko la kkoo baada ya ukarabati huku mtandao wa simu Karikoo ikiwa changamoto

    Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu. Mabali ambapo pana mzunguko mkubwa kipesa na tegemeo la biashara Ukanda huu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  3. I

    JamiiForums Tanzania Msaada hivi vipele vimekuwa changamoto.

    habari wapendwa nasumbuliwa na hivi vipele naomba msaada kwa anaejua dawa nimezunguka mahospitalini bila mafanikio.
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?

    Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako? Usihangaike tena — tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA. Tunatoa huduma zifuatazo: ✔ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns ✔ Income Tax Returns (Individuals & Companies) ✔ SDL, PAYE &...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Home tuition bora kwa watoto wenye changamoto za masomo

    Je, mtoto wako: ❌ Hajui kusoma na kuandika? ❌ Ana changamoto darasani au anaachwa nyuma? ❌ Anaogopa masomo au hana msingi mzuri? 👉 USIJALI TENA! Sisi ni walimu wabobezi wa Home Tuition, tunamfuata mtoto hadi nyumbani na kumjengea msingi imara kwa muda mfupi. ✅ TUNAPATIKANA BARA NA ZANZIBAR ✅...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Faida, changamoto za matumizi miundombinu ya kidigitali katika VICOBA

    Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo. Kisha wameweka utaratibu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafua na kharisha kwa kuku

    Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
  11. JamiiForums Tanzania Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kubwa kwa Wanafunzi wa Masters IAA: Matokeo, Appeals na Dissertation

    Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma. 1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals) Kumekuwa na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

    Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo. Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi...
  14. JamiiForums Tanzania Uume unaosimama vizuri ni suluhisho la changamoto nyingi kwenye ndoa/mahusiano

    Wanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa. Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn...
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA? Mpendwa Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015. Nakuandikia tena...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu ya miaka hii ni changamoto

    Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu.... Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto lukuki zakabili biashara ya mazao ya kilimo hai Afrika Mashariki

    Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha. Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka. Lengo la itifaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…