changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

    Dereva wa gari linalosafirisha boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza), Hamidu Mshamu ameeleza changamoto anazokumbana nazo akiwa katika safari ya siku 14 kutoka Mtwara hadi Mwanza. Akizungumza akiwa mkoani Morogoro leo Alhamisi Juni 19, 2025, Mshamu amesema tayari...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto na mitihani unayopitia haipo kwa bahati mbaya

    Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na changamoto ya Ajira

    “Changamoto ya ajira nchini Tanzania haiko kwenye ukosefu wa kazi, bali kwenye mfumo wa unyonyaji unaoendelea, hususan katika sekta binafsi. Watu wanatumia muda wao mwingi, maarifa yao ya hali ya juu, na nguvu zao kuzalisha thamani kubwa kwa waajiri, lakini malipo wanayopata ni duni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  6. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
  7. JamiiForums Tanzania Single Mother Waheshimiwa. Tyler Perry kasema nusu ya changamoto zao

    Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu. Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona picha ya ndani wanayopitia single mothers tuache kuwakebehi kwa lolote hasa pale ambapo huwezi kumpa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  9. JamiiForums Tanzania 🩺 Je, Unakumbwa na Changamoto ya Kupoteza Mimba Mara kwa Mara?

    📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiographer | Health Educator 📲 IG: @hillary_officialtz Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba. BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali. 🔍 Dalili za BOH ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi zenye changamoto ya kutoboa

    Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana.. Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta. Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  12. JamiiForums Tanzania Una changamoto ya spare za Mini cooper yako? Sululisho liko hapa!

    Karibu uagize spare za mini cooper kuanzia engine, vifaa vya umeme, vilainishi na mengineyo kwa jumla na rejareja Wa ndege,Vifaa hufika ndani ya siku 5 hadi 7 na kwa meli/maji ni siku 40 kulingana upakiaji na usafirishaji. Ndege ipo ya jumatatu, jumatano na ijumaa na kwa kilo ni dola 12...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Michango ya Harusi

    Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia au inawaongezea mzigo wa kifedha. Badala ya kuendelea na utaratibu wa kuchangia harusi na misiba, ni...
  14. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako?

    Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako? Nikusaidie Napatikana mkoa wa dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ikianza kukwepa majukumu yake ndiyo huzaa changamoto kama za hii ya dabi ya kariakoo

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Foleni njia ya Moshi-Arusha

    Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini. Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha kwenda moshi nao wamefanya hivyo hivyo. Wahusika wenye mamlaka watatue changamoto hii kwani ni zaid...
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  19. JamiiForums Tanzania Mchechu: Kulikuwa na changamoto ya kiufundi ratiba za Ndege za ATCL kubadilika

    Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…