changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu changamoto za Tv za mkopo ni zipi?

    Kwa wale wanaofahamu au waliowahi kuchukua tv ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kila mwezi, Je changamoto ni zipi? Pia vipi kuhusu Tv ya Vitron? Mbona zinauzwa cheap sana? Kuna anayefahamu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Moja kwa moja.. Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ? Naomba Msaada wakuu..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  6. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: ACTIF2025 itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Je? Changamoto Gani ulikutanana nazo baada ya kuajiriwa

    Habari Wana JF uzu huu nimaalum kwa ajili ya wafiwa. Nikianza na wewe
  8. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  9. JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

    Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi Nifanye nini kuepuka 1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine 2.Changamoto na namna ya kuziepuka 3.Nifanye nini ili kuvutia...
  11. JamiiForums Tanzania Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

    Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu.. Awe ni mke/mume , mchumba au mpenz . Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na ukawaza mambo mengine Kabisa. Wivu na hasira. Kwa Wote ambao Wenzi wetu wako mbali. Eeeh Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

    Wakuu ==== Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni, Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi Usajili usio na tija Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa uongozi
  13. JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora: Changamoto ya stakiki kwa watumishi wapya Hospitali ya Kitete

    Sisi Ajira mpya bado tunadai stahiki yetu ya hela ya kujikimu, pia tumekuta watumishi wanalalamikia hali ya kutopewa stahiki zao kwa wakati, stahiki hizo ni pamoja na Call, Extra & Refferal allowarence hali hii imekuwa ikididimiza utendaji kazi wa watumishi na motisha ya kazi. Tunahitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa watu wenye changamoto ya vipara

    Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi. Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo. I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa...
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto kazini

    Ila kuna vitu vinachekesha sana🤣🤣
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  20. JamiiForums Tanzania Aina ya maboss na changamoto zao boss wako yupo vipi?

    Hell Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…