chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  3. JamiiForums Tanzania Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

    Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch , maana kwa nilivoona kwenye mechi ambazo amecheza inaonekana energy yake ishashuka kabisa, ila kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

    Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
  5. JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  6. JamiiForums Tanzania Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Chama Tawala kimechoka sana

    Huu ni zaidi ya utoto na upuuzi wa viwango vyake. Hali ikifika hapa tambua kwenye hoja wameshapigwa dafrau la chembe sasa wanachechemea
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa. Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Chama Cha ushirika Tunduru (TAMCU)

    Chama Cha ushirika Tunduru TAMCU viongozi wanatumia vibaya madaraka, wanapeana posho mlima Kama juzi hapa chama kilifanya kikao na wajumbe wa TAMCU ukumbi wa Skyway uliopo Tunduru bageti wametumia zaidi Milioni mia Nne na ushee (400)hiyo kwa siku mbili. Naomba Waziri wa kilimo Chunguza...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

    Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi. Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
  12. JamiiForums Tanzania Kidumu Chama cha Mapinduzi-zife fikra na vizazi

    Chama cha mapinduzi kimejengwa katika misingi ya Utu na Uzalendo,toka kuasisiwa kwake. Look Dunia ya sasa, Geopolitics na mienendo ya dunia inahitaji kila taifa kujiimarisha haswa ktk uchumi,siasa na elimu(intelligence) Taifa lolote ili liweze kutekeleza hayo linahitaji mkuu wa nchi aliye...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima, anayofanya askofu mwanamapinduzi ni wewe unamtuma? Kwanini hujamfukuza kanisani kwako?

    Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ? Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  17. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  18. JamiiForums Tanzania Vyovyote wafanyavyo, hata kama nia ni kumchafua, bado yeye ndiye turufu zaidi ndani ya chama chake hata kwa wapinzani

    Friends and Our Enemies, Baada ya kuichukua Nchi katika kipindi kigumu zaidi cha kuondokewa na mtangulizi wake, kitu kikubwa alichokifanya ni kujenga IMANI. Alijenga Imani kwa mfumo wa demokrasia kwa kuwahakikishia wapinzani kuwa haki itatendeka,na kwamba wote waliokimbia nchi mfano kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  20. JamiiForums Tanzania Chama chetu vyama vyetu vya msingi na lazima ni Tanzania, Utu na Ubinadamu, CCM haiwakilishi Tanzania kwa ujumla wake , CCM ni mchepuo hiari kisiasa

    Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu. Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda. Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Njia ile ni nyembamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…