chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

    All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except; DUBE This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves. DUBE can't press sio Yanga...
  2. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kuumua Trump alikuwa wa chama chake Republican ila alichangia chama cha Democratic

    Records show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania, but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group, Source Meg Oliver CBS News, Ila wa hapa wanadhani Lissu haweizekani kuwa alishambuliwa na wenzake
  6. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  7. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu na maslahi ya Mwalimu

    CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi. Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feisal alimkimbia Aziz Ki, Aziz ki anamkimbia Chama

    Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona akimbie kuepusha shari, Sasa Aziz ki anaogopa kufunikwa na kivuli cha Chama, asije tena kuonekana wa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

    Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Avuliwa uongozi ndani ya chama kutokana a ubadhirifu wa fedha

    Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi. Aidha...
  11. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwe wa wazi; Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kupata walau 20% ya kura zaidi ya CHADEMA

    Wakuu Habarini/salaam/Shalom Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya kufungiwa kwa harakati za kisiasa chini ya Hayati J.P. Magufuli, Madhara ndo yanaonekana leo🩴 Hali...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juma Mgunda atema mabovu kuhusu Cloutus Chama

    “Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi cha Upinzani Kilishinda Uchaguzi wa Jimbo moja mwaka 1962?

    Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti 77 na kukosa Kiti kimoja tu ambacho alishinda mgombea wa upinzani, ambaye anadai alikuwa chama cha...
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania CCM ndio chama pekee Afrika kitadumu dahari kwa dahari

    Ni ukweli usiopingika kwamba chama cha mapinduzi ndio chama ambacho kina historia kubwa hapa barani africa,,na hii ni kutokana na historia ya viongozi wake kuwa mstari wa mbele kutoka enzi za kupigania uhuru kupambana katika harakati za kuona nchi nyingine za Afrika zinapata uhuru pia. Lakini...
  15. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "We'll continue seeing each other" Maneno Ya Triple C, Clatous Chota Chama

    Habari Wanazengo. Kwenye Paragraphs kuna mstari unaitwa "bottom line" huo mstari katika paragraph yeyote ndio ubeba lengo la paragraph nzima. Sasa Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kwenye Paragraphs ya mwisho kabisa bottom line ameandika maneno haya "We'll continue seeing each other" kwa...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

    Pia Soma - Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  18. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  19. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama Kwenda Yanga hii inaonyesha kwa sasa hakuna Mchezaji anaweza ikataa Yanga ikimtaka

    Nisikuchoshe..wewe ndie Mchezaji ushacheza sana unaona kabisa unaelekea ukingoni Yanga hawa apa na Yanga tena hii ya Hersi ambayo inashawishi kila kitu yani hii Yanga inashawishi Ndani na Nje ya Nchi. Imekufata utagoma? Mfano tu Mi shabiki LiaLia wa Manchester United Imagine Leo hii Mchezaji...
Back
Top Bottom