The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili kuondokana na Ugonjwa huo ambao unawashambulia kwa Kasi Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla...
Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa.
Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu,
Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache,
power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
Nasema wazi usijichumie dhambi Bure...
Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu
Mtume
Sallallahu Alayhi Wasallam, katika...
Yeriko Nyerere mwanachama wa zamani wa CHADEMA aliyejiunga CHAUMMA hivi karibuni, amepewa kazi maalum.
Kazi hiyo maalum ni kuhakikisha anawadhoofisha kimkakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA na Chama chao kwa ujumla.
Katika kazi yake hiyo mpya ndani ya CHAUMMA, Yeriko ameelekeza Moja kwa moja...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika.
Awali, Mdau huyo alidai...
MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing.
Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu...
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na...
Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA"
Gazeti hilo liliandika
Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako.
CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni.
Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi.
Be it in the process make CCM first and be yourself on...
Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman
Alikuwa na kauli mbiu yake...
Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura.
Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.