The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana,
-Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan.
Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
Karma,Novena vimeanza kujibu,yule Mzee aliyeenda nyumbani kwa Baba wa Taifa kumsema vibaya kumbe Baba wa Taifa anamsikia dirishani,wengine wanaita press halafu hawatokei wanakatazana wenyewe kwa wenyewe,
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja wa chama hicho.
Soud alibainisha kuwa AAFP ipo tayari kushirikiana na CCM na kumuunga mkono mgombea...
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina.
Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
Dkt. Bashiru Ally
Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru
Nguvu ya CCM na uwezo wake...
Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa.
Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka.
Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana.
Etc
Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali.
Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%.
Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%.
Ee ndo hivyo bana, utafanyaje sasa. Hata kukaa kimya huruhusiwi.
Salaam nyote,
Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda.
1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k
Wengi walioachwa wananung'unika kuwa tumekijenga CHAMA kwa jasho na machozi ,Fedha lakini watu wamevuka tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.