chama kimoja

  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

    Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika. Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

    Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kutumika vibaya, kuibeba CCM, sasa hii "Watoto wa Mama" ya nini?

    Kuna ajenda gani kati ya Rais Samia na Vilabu vya Simba na Yanga?, Wanatumika kisiasa na kufanya kampeni kabla ya wakati Kuna namna CCM wanawatumia hawa wasemaji wa vilabu hivi pendwa nchini kujinufaisha kisiasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi, badala ya kuwekeza nguvu kwenye miradi ya maendeleo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa upepo wa kisiasa ulivyo nchini ni kwanini tusikubali kuwa tuna chama kimoja tu ili mabeberu waingilie kati!?

    Hii hali ya kujidanganya kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi kunatupotezea muda wa kupata demokrasia halisi ya vyama vingi, mimi nishauri hivi vyama vilivyopo vingekubaliana kuweka mpira kwapani ili dunia nzima ijue kuwa serikali ya Tanzania haina nia ya kuruhusu upinzani. Kuna namna...
  7. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zilimfanya Mwl.Nyerere kuiingiza nchi katika ujamaa na chama kimoja?

    Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chama kimoja kwa miaka 62 ni uzee tosha, tukibadili

    Salaam, Shalom!! SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua Polepole. Mzee mwenye umri wa miaka sitini , ndoto zake Huwa amezihamishia Kwa watoto na wajukuu zake...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nchi za kikomunisti ni nchi zilizo chini ya amri na utawala wa chama kimoja. Nawakumbusha tu msisahu hilo

    Nawafunza somo jepesi. Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee. Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo chini ya wakomunisti pekee kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya watu wa China. Nawakumbusha kuna...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kutawaliwa na Chama kimoja toka Uhuru ni udikteta, lakini tumejifanya hatuoni

    Toka uhuru mpaka sasa tumetawaliwa na mfumo wa chama kimoja, na bado watu wanaita ni Nchi ya Demokrasia. Uchaguzi unaofanyika Nchini ni kama bosheni tu, na uchaguzi halali ni ule unaofanyika katika kamati kuu ya chama tawala kumpitisha mgombea. Mgombea akishapitishwa na chama tawala tayari huyo...
  13. komunisti

    JamiiForums Tanzania Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

    Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Tusifurahie Bunge la chama kimoja

    Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali. Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusidanganye umma kuwa na bunge la kuikosoa serikali mpaka wapinzani wawe bungeni. Huko nyuma bunge la chama kimoja liliisimamia serikali vyema

    Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania? Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja. Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu. Mnadai kuna demokrasia...
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

    Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja! Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitajengwa na chama kimoja

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

    Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura. Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Madhara ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu ndio haya. Wenye nchi chukueni hatua

    Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini. Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

    Baada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni Bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa na Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe walipokuwa bungeni. Bunge la...
Back
Top Bottom