chama kimoja

  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amepania kurejesha kwa nguvu mfumo wa chama kimoja nchini

    Tokea mwaka 1992, nchi yetu iliamua kuirejesha nchi hii kwenye mfumo wa vyama vingi na mfumo huo ukaingizwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) ambayo inatamka wazi kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi" mwisho wa...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Mkapa kuhusu CCM kujiona kama chama kimoja inahitaji kutafakari nini hasa msingi wake?

    Na Elius Ndabila Jana wakati Mh Mkapa akizindua kitabu chake, moja ya nukuu zake alisema CCM INADHANI IPO CHAMA KIMOJA. Kwa wanasiasa hii ilikuwa ni kauli nzito nainayohitajika kuchambuliwa kwa kina hasa na wachambuzi wa maswala ya siasa. Ni nukuu ambayo haihitaji tu kutafakari, lakini pia...
  3. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani ulioasisiwa na mwalimu Nyerere umefeli, Je turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee. Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%? Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. Japo sio kila mara mawingu huleta mvua lakini kila yaonekanapo walau kunakuwepoa matumaini au labda hisia kuwa mvua itanyesha. Hali ya kisiasa ya nchi yetu chini ya awamu hii ina dalili nyingi ambazo zikitazamwa kwa pamoja na haiba na kaliba za...
Back
Top Bottom