chama cha walimu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkate mgumu mbele ya chai (Falsafa ya Deus Seif na Abubakari Alawi inavyoendelea kukivuruga Chama cha Walimu Tanzania)

    Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania. Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
  2. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
  3. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
  4. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  5. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CWT na dhambi ya Walimu walioajiriwa 2013, dhidi ya Serikari ya Magufuli na Mama Samia

    Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo. • Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chawa wanashangaa Rais wa CWT kukataa Uteuzi wa DC mbona Tundu Lissu alikataa Uteuzi mkubwa tu. Ukiwa na maono yatakuongoza, hutayumba!

    Mjadala wa Walimu kukataa Uteuzi wa uDC umekuwa mkubwa kana kwamba wao ndio Watu wa kwanza kukataa Uteuzi hapa nchini. Kuna Wengi hukataa Teuzi kimya kimya na maisha yanaendelea. Yuko mtu inasemekana Nyerere alitaka ateuliwe kuwa mgombea Urais wakati wa Chama Kimoja lakini alikataa kwa sababu...
  8. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

    Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8 Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi Je, utakubali teuzi au utakataa?
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
  11. sirluta

    JamiiForums Tanzania Vitisho vya Chama cha Walimu Tanzania(CWT) dhidi ya walimu nchini

    Makatibu habari za asubuhi? Naelewa kuwa CHAKUHAWATA wanatafuta wanachama! Pale ambapo ipo kila Katibu wa wilaya amwandikie DED wake kuhoji kwanini katibu wa CHAKUHAWATA(ngazi husika mf wilaya ya Bukombe), anatumia rasilimali za serikali kwenye shughuli za CHAKUHAWATA yaani muda na mshahara wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CWT, TAMISEMI, Hazina na Utumishi husikeni hapa

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja. Mh. Rais wa JMT Madame SSH amakuwa akitoa maelekezo Kwa wizara na idara za serikali ya jinsi ya kutatua kero zinazowakabili wafanyakazi wa Serikali. Moja ambalo alishalielekeza na kuliidhinishia fedha za malipo ni like kundi la wafanyakazi waliopanda madaraja...
Back
Top Bottom