Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali.

Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na Wapenda Haki kama Albert Chalamila.

Albert Chalamila nitashangaa Ukibadilika na mpaka umeona GENTAMYCINE leo nimekupa hizi Credits tukuka hapa jua nina Imani Kubwa nawe.

Usiniangushe na Karibu sana Dar.
 
Ukiniwekea Makalla na Nusu Chalamila nitachagua Nusu ya Chalamila. Makala ni Aina ya viongozi wanaobebwa na Mfumo.

Halafu ifike mahali Mheshimiwa Rais aepuke mtindo wa kuteua Wabunge walioshindwa majimboni kuwa Wakuu wa mikoa au Wilaya. Wanaendeleza uongo ule ule waliotoka nao bungeni.
 
Back
Top Bottom