chakula

  1. Hizi stock za chakula tulizo nunua tunazipeleka wapi Sasa?

    Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao? Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani...
  2. E

    Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

    Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu. Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
  3. Hivi ni kweli mtu akila chakula kizuri tofauti na mlo aliouzoea atapata shida ya tumbo?

    Kuna mama jirani hapa kaja kunitembelea Leo,huyu Mama kazi zake ni za saidia fundi, kufua pamoja kufanya usafi Kwa watu. Sasa Leo alichonishangaza ni alichoniambia, kuwa Jana alipikia watoto Wake ( wako below 11 yrs)chakula ambacho ni muda mrefu hawajala. Anaendelea kusema kuwa siku ya Jana...
  4. Beluga cavier: chakula zaidi ghali duniani

    Beluga caviar ni chakula ghali sana duniani, na bei yake inaanzia takriban $7,000 hadi zaidi ya $22,000 kwa kilo ($3,200 hadi $10,000 kwa pauni), bei zinatofautiana kulingana na ubora na chanzo. Bei pia inaweza kupatikana kwa idadi ndogo, kama vile $200-$300 kwa wakia. Gharama Hi yo ya juu...
  5. Kama tunakula kila siku.. Kwanini wanaozalisha chakula wanabaki masikini

    Tanzania ni nchi inayotembea juu ya mabega ya wakulima na wafugaji. Kila sahani tunayoweka mezani ni matokeo ya jasho lao—wakati mwingine jasho la mwisho kabisa. Lakini cha kushangaza ni kwamba, kadiri mahitaji ya chakula yanavyoongezeka… ndivyo simulizi za umasikini, madeni, na mapambano...
  6. Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  7. Magaidi ya Houth wanalazimisha watu waandamane ili wapate misaada ya chakula huko Yemen!!!!

    REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
  8. Nijuzeni kiini cha maarifa ya kichanga kuanza kulishwa chakula baada ya miezi SITA toka azaliwe

    Kuna mwenye kujua history ilianzaje mpaka wahenga wakagundua mtoto akizaliwa akae miezi SITA bila kula chochote hata maji.. Na je mwanzo pengine walikuwa hawana hio akili wakawa wanalishwa ndani ya miezi miwili au mitatu tumbo halijakomaa je ilikuaje wali survive kweli hao watoto? Kuna...
  9. Mkoa unaotoka hiki chakula kinapatikana? Mnakiitaje?

    Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala. Kwa nyumbani tunaika...
  10. T

    Chakula Gani? Ambacho hujawai kukila

    Habari za wakati huu wakuu!? Wazima wote jamaa ndugu na marafiki, kwa mwenye changamoto yoyote ya kiafya basi MWENYEZI MUNGU AMSAIDIE,,, wakuu nimeandika kichwa cha.uzi tofauti na mada hapa lakini wakuu nilikuwa naomba kiasi chochote nikale wakuu kama haitakuwa shida wakuu nimeomba sana🙏😔
  11. Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  12. Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  13. M

    Tunauza Mashine YAKUCHAKATA CHAKULA CHA MIFUGO YOYE

    KARIBUNI MIFUGO PLUS Mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, samaki, na mifugo mbalimbali km, sungura,ngombe, mbuzi ngurue Mashine Zipo chake Pia zipo kwenye Of Baada ya Lak 4 Njoo Oficini Lipia Kwa Bei ya 380 Ujanja Kuwai wateja wangu PIGA SIM 0612323330
  14. KWELI Ulaji wa mayai ya nyoka yasiyopikwa vizuri unaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu

    Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu. "Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
  15. M

    Niliwahi kuiba chakula nilipokaa njaa kwa siku mbili, mpaka leo nimeshajiapiza siwezi kuja kumpiga mwizi ataeiba chakula

    Njaa ya siku 2 mnaijua mnaisikia ? Akili ina ji reset kwenye default settings LIWALO NA LIWE Ni kipindi hicho miaka ya nyuma kuna muda nilipata changamoto za kiuchumi, sikuweza kupata chakula kwa siku 2 Mpaka akili ikaja ya kuwinda sherehe na misiba, hakuna kitu. Kuna nyumba walikuwa...
  16. Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

    Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi. Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania Kugombea ugali Count ya Awendo ukitoka Isebania unafika Migoro Awendo iko mbele yake. Source Mwananchi Agost 28...
  17. A

    DOKEZO Maafisa Elimu wawe wanapitia Shule zao kukagua Chakula wanafunzi Mashuleni

    Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka. Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
  18. Mcheza mpira wa vikapu mashuhuri Gaza afa akigombea chakula cha wanawe

  19. Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

    Vijana mmeona chakula cha role model wenu? Ronaldo amepost chakula chake kinachomfanya awe hivi mnavyomuona? Sasa igeni na hii!
  20. Hauna uzoefu wa kupika chakula cha watu wengi. Je, unaweza kuanzisha biashara ya catering?

    🤔 Swali hili ni la kawaida sana miongoni mwa wengi wanaotamani kuingia katika sekta ya huduma za chakula. Jibu ni la kuvutia na la kushangaza kwa wakati mmoja. 🙆‍♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya catering si rahisi kama unavyodhani, hasa ikiwa huna uzoefu wa kupika kwa wingi. Lakini hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…