Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA,
Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha.,
Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...