chafu

Chafu Chah (Persian: چافوچاه‎, also Romanized as Chāfū Chāh) is a village in Gafsheh-ye Lasht-e Nesha Rural District, Lasht-e Nesha District, Rasht County, Gilan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 465, in 138 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Buguruni: Jiji kuwa chafu ni kweli si jambo la lakuficha linaonekana kwa macho

    Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi madiwani wengi jiji la Dar es Salaam. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eti Mama kasema weka jiji safi? Kwamba asingesema lingebaki chafu?

    Akili za aliyeweka ujumbe kwenye bango ni za kuvukia barabara, kwa hiyo mnatuambia tunatakiwa kuweka jiji safi kisa Mama yenu kasema ila vinginevyo hamkuwa na mpango wa usafi. Mbongambonga, mnaona mnavyotuwekea viongozi viazi kwenye ofisi za umma, hawana fikra wala mipango mpaka mama yao aseme...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mbona kama rasta za Mr. Cheeks ni chafu?

    Wadau Salam.Ukiziangakia RASTA za Mr Cheeks ni kama chafu ukifananisha na za Fid na Madee.
  4. JamiiForums Tanzania Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Jiji la Mwanza ni chafu na hakuna utaratibu mzuri wa kudhibiti usambaaji wa taka

    Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji. Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli chafu zilizokuwa normalized Jamii Forums ambazo ni adui mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania

    Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka" Kuna siku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukivaa miwani chafu utawaona watu wachafu, hata shati jeupe utaliona limefifia

    KUNA HAJA YA KUJUA KASORO YAKO KWANZA KABLA YA KUORODHESHA ZA WENGINE ILI UJUE SHIDA NI WEWE AU WAO? WATU WENGI HATUWAONI KAMA WALIVYO BALI TUNAONA KAMA TULIVYO SISI ✍️ KILA MTU UNAMUONA MWENYE KASORO KWA SABABU WEWE PIA UNA KASORO YA NAMNA UNAVYO WAANGALIA✍️ UKIVAA MIWANI CHAFU UTAWAONA...
  8. JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar ni Chafu, Tulijisahau, Rais hakutuonea

    https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi. Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gulio la Mkuyuni mkoani Mwanza ni chafu

    Siku ya jumapili huwa kuna mnada wa nguo hapa mkuyuni mwanza ila hali ya mazingira ya mnadan hapa mkuyuni ni ya kutisha
  11. T

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuichafua oili chafu, itakuchafua tuu

  12. JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa. Kipindi CHADEMA wakiwa na mbunge Ndesamburo na Mayor Ray Mboya , ndio manispaa iliyokuwa safi zaidi Tanzania na Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Tupeane ramani ya zile kazi ambazo zinadharauliwa lakini zinae kibunda

    "Vijana wa makamo,kipindi cha pili kinakaribia kuanza " TUPEANE RAMANI YA ZILE KAZI AMBAZO ZINAZALAULIWA LAKINI ZINAE KIBUNDA
  14. JamiiForums Tanzania Pesa haikai sehemu chafu

    Fedha inahitaji ulinzi sana Sio ule wa bank NO.
  15. JamiiForums Tanzania Ninyi Watanzania, hao wageni mnaowapa siri na kuchafua nchi yenu ndio hao wanaowasubiri mfe wote ili watawale ardhi yenu kwasababu ardhi yao imeshajaa

    Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui kuwa wageni hao wanatafuta soko la silaha na ardhi ya ziada Hao wageni wanaoungana nao wanataka...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekunywa bia ila nimekutana na uchafu

    Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu. Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kampeni ya kudhibiti lugha chafu kwenye mabanda ya mpira

    Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani...
  18. JamiiForums Tanzania Kitabu ni njia ya kutakatisha fedha chafu

    Sasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi. Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini. Vyombo viendelee kumonitor transactions zake na za wanaomfadhili. Kamwe fedha hizi zisiingizwe kuja kuchafua uchaguzi 2025.
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti. Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama. Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…