inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 656
- 727
Wadau Salam.Ukiziangakia RASTA za Mr Cheeks ni kama chafu ukifananisha na za Fid na Madee.
Ongezea : Mleta mada ni mtoto wa kiume.Nayo ni maada eti ya kujadili
Wadau Salam.Ukiziangakia RASTA za Mr Cheeks ni kama chafu ukifananisha na za Fid na Madee.
Rasta kiasili ni chafu tu, nywele zinavyozidi kurefuka zinakufa. Achana na hile wanazosuka mabisho kwenye saluni kama alizokuwa nazo master J za kufunga na kufungua
Uongo, mimi nina Rasta 6 yrs now mbona siyo chafu? Uchafu ni asili ya mtu hizo nywele zinakufaje??🙄Rasta kiasili ni chafu tu, nywele zinavyozidi kurefuka zinakufa. Achana na hile wanazosuka mabisho kwenye saluni kama alizokuwa nazo master J za kufunga na kufungua
Tupia kapicha tuoneUongo, mimi nina Rasta 6 yrs now mbona siyo chafu? Uchafu ni asili ya mtu hizo nywele zinakufaje??🙄
Ili iwaje?Tupia kapicha tuone
Tuone tuIli iwaje?
Halafu?????Tuone tu
Naskia zikikaa mda mrefu zinachange rangi. Nataka nione za kwako za six years kama hazijabadilika nami nifugeHalafu?????
KwaheriNaskia zikikaa mda mrefu zinachange rangi. Nataka nione za kwako za six years kama hazijabadilika nami nifuge
👋Kwaheri