Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi...
Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo...
Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa.
Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji.
Je ubalozi wetu umechukua hatua gani?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Mwenye macho haambiwi tazama
Mwenye masikio haambiwi sikia
Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana
Kutekwa na kupotezwa...
Kwanza,
Nianze kwa kumpongeza Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema. Pamoja na hila zote, ameendelea kuchanja mbuga na kusokota timu yake vizuri. Moto unawaka. Pamoja na viongozi wengine, Mahinyila aandaliwe ratiba, hatumuoni sana. Wakati huu tunahitaji kumuona "kila mtu kwenye mchakato".
Pili...
Mimi ninaamini siasa ni dynamic kwa haya yanayoendelea kwenye CHADEMA mara watu kukamatwa, mara kutekwa, mara kutenguliwa kamati na seccretariat na kesi ya Lisu,G55nk kuna haja ya kurevisit mbinu zenu.
Nashauri Makamu Mwenyekiti chukua initiative uitishe kikao cha jopo la watu kama 30 la...
Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama, na kuendesha kampeni za kuwashawishi wanachama kuhama chama chao.
Katika barua hiyo iliyotiwa...
Kupitia mchoro huu wa Masoud Kipanya, hii ndiyo hali halisi CHADEMA wanapitia, je joka litatoka salama kweli?
Mwalimu Boniface Jacob ametafsiri hivi;
1.Joka la Kaki - hiki ni chama cha siasa kinacho vaa sare zenye rangi ya kaki kombati nchini Tanzania.
2.Ukubwa wa Joka- Ukubwa wa hicho chama...
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.
Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino.
Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
Wana CCM nawaomba sana na kuwasihi Viongozi wa Dola wazalendo nawaomba na kuwasihi sana .
Suala hili naombeni lisichukuliwe ni jambo la kawaida, la kupuuzwa kama ambavyo VIFO vya Akina KIBAO vimepuuzwa !!.
Niwaombe sana Wazalendo wote Kwa pamoja KEMEENI hili mara Moja, Kemeeni hili Moja...
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa...
Ule msemo hakuna mkate mgumu mbele ya chai leo umenifikia.
Nidiliki tu kusema CCM chaka mliloingia ni sahihi huu utaratibu wa kutununua ili kuudhoofisha CHADEMA tuonekane tunahama kwa makundi tunaenda kuufanya uchaguzi wenu Kuwa mgumu na kuwapandikizia chuki ili mgawanyike.
Hatuchezi nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.