Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ndugu zangu Watanzania,
Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
Wakuu
Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi...
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.
Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za...
Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema...
Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020...
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
CHADEMA IN AUTOLYSIS
This is precisely what is precipitating in CHADEMA
HEAVY WEIGHTA IN LOGGERHEADS
The Riverr between them is turning out to be the fourth global rift valley that only cosmic powers can return optimal
If a person analysed the raise, vibrancy and fall of NCCR and CUF, it is...
Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Kwa nini Polisi wamefanya Operesheni ya Kumteka Lissu na Kuvuruga Mikutano ya Chadema huko Tanzania Kusini?
VIDEO: Purukushani za tukio la kukamatwa kwa Lissu na wenzake (Angalizo: Video ina ukakasi)
Picha: Lissu akiwa anadondoka baada ya kulimwa ngwara
Swali Pasua Kichwa
Watanzania...
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.
Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.
Kwakweli hata mapokezi...
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama.
Kazi inayofanywa na Chadema ni kazi iliyotukuka, ni kama kuwaondoa Wananchi hawa kwenye Makaburi meusi ya fikra...
Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana
Mrema
Mbowe
Lipumba
Maalim Seif
These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.
Mambo hayo sita ni...
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.
Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic:
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
Wakuu,
"Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda.
Sisi hatupingani na chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.