chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokifanya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa CHADEMA ni sawa na mtu muoga kukupiga Konzi alafu akakimbia baada ya wewe kumchoma panapouma

    Wakuu hata msiwaze Wala kuumiza Kichwa , na Ninaomba CHADEMA Msitafute kupoteza muda na huyo Mwendawazimu. Ipo hivi , Msajili na Jeshi la Polisi na Usalama mbumbumbu ambao Sasa wametapakaa Uwanja wa Ndege wa JN kwaajili ya kufatilia Wanachadema wanaosafiri, wanachofanya ni KUICHOKONOA CHADEMA...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mipango ya kuiangamiza CHADEMA

    Kuna kikao cha siri kilikaa kati ya nyumba ya kulea vyama, wataalam wa siasa na rohoo mbaya kutoka chama kubwa pamoja na washahuri wa Boss. Agenda kubwa ni kukifunga miguu na mikono CHADEMA miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Yafuatayo ni maazimio. 1. M/Kiti kuendelea kushikiliwa hadi uchaguzi...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama

    YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo juu. Baada ya kupitia kumbukumbu za mahudhurio ya kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari, 2025...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  7. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Achana na mihemuko, lete sababu zenye mashiko kwanini CHADEMA hawashiriki uchaguzi 2025

    Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli alipoanza kufinya uhuru wa shughuli zake za kiasiasa ili kukidhoofisha kati ya mwaka 2019 - 2021...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mkitaka kuwamaliza wapinzani wenu kirahisi sana, tumieni nyimbo nzuri, rahisi za kuhamasisha ambazo hata watoto wadogo watakuwa wakiziimba

    Katika purukushani za Polisi na Chadema huko Mwanza, ulisikika wimbo ukiimbwa. Huu ni wimbo ambao baadhi yetu tuliimba sana jeshini, na ni wimbo mzuri sana kuhamasisha. Naapa naahidi mbele ya mungu Chadema nitakulinda mpaka kufa Mnaweza kuongeza uhamasishaji kama Naapa naahidi mbele ya mungu...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Popote walipo G55 "tembeeni" kwani wapo watu wamefariki kutokana na chama na hakuna waliodai uongozi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi kijacho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Agenda kuu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa sasa ni uamuzi na uelekeo wa g55. Unadhani kwanini CHADEMA wamechagua agenda hii na kuachana na zingine?

    Je, wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza? Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Waliondoka CHADEMA wameambiwa waende CHAUMMA na hii yote ni kutaka kuwapotezea

    CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuondoka CHADEMA HII hata kama CCM wanakununua Kwa Mamilioni ya FEDHA?

    Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi. Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja HAKI USTAWI WAO Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi. Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

    Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15. Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    Umewekeza mabilioni ya fedha mliyoiba kwenye kandarasi mbalimbali Serikalini na nyingine kwenye bajeti ya Serikali ili uwalipe watu waimalize Chadema alafu Chadema ndo inazidi kupendwa mara 100 zaidi. Umewahonga Mapandikizi mamilioni ya Pesa wajitoe Chadema na kuanzisha tafrani uchwara ili...
Back
Top Bottom