chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. chiembe

    Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  2. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Nape Nnauye awaonya CHADEMA 'Kuweni na adabu kwa Rais Samia'

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa...
  4. Kabembe

    Hon. Tundu Antipas Lissu and the Fate of Chadema and Democracy in Tanzania

    Tundu Lissu is a prominent Tanzanian lawyer and politician, renowned for his unwavering commitment to democracy and human rights. Born on January 20, 1968, in Ikungi district, Singida, he has played a significant role in the nation's political landscape. Early Life and Education Lissu completed...
  5. kipara kipya

    Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
  6. B

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  7. R

    BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  8. Rebeca 83

    PreGE2025 CHADEMA wangewashawishi vyama vingine pia

    Habari wakuu... Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms....... Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani. Kuliko sasa hivi...
  9. and 998 others

    Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  10. W

    CHADEMA tawanyikeni hii itasaidia Nchi yote kuamka

    Habari ya leo wanajamvi. Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii itasaidia Nchi yote kuamka. Gawa makamanda wako vyema kwenye Kanda zote, habari ya mahakamani waachieni...
  11. L

    PreGE2025 Kukamatwa Kwa Lissu Mbele Ya Wafuasi wake ni Ushahidi kuwa CHADEMA haina nguvu ya Umma na wala haiwezi kuzuia Uchaguzi kwa nguvu ya Umma

    Ndugu zangu Watanzania, Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
  12. Waufukweni

    CHADEMA yadai Lissu kakamatwa kwa Uhaini, Polisi Ruvuma wasema ni Uchochezi. Mbona mnatuchanganya?

    Wakuu Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi...
  13. Roving Journalist

    PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

    Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu. Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za...
  14. Tlaatlaah

    Kwanini CHADEMA wamepoa sana na wamekata tamaa kabisa baada ya Lissu kukamatwa?

    Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini? Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo. Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
  15. Metronidazole 400mg

    PreGE2025 Mikutano ya CHADEMA yazuiwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusu kampeni ya "No reforms, no election"

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema...
  16. Allen Kilewella

    CCM mnataka mpewe nini ili muwe Imara?

    Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro. Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu! Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
  17. Allen Kilewella

    No reforms No Election ni wazo la watanzania na siyo CHADEMA

    Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa. Lakini mwaka 2020...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Kubenea: Tundu Lissu alishiriki kumkataa Lowassa CHADEMA

    Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
  19. Nathan Jr

    CHADEMA in autolysis

    CHADEMA IN AUTOLYSIS This is precisely what is precipitating in CHADEMA HEAVY WEIGHTA IN LOGGERHEADS The Riverr between them is turning out to be the fourth global rift valley that only cosmic powers can return optimal If a person analysed the raise, vibrancy and fall of NCCR and CUF, it is...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Patrobas Katambi ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA

    Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Back
Top Bottom