Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi:
Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana!
Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi
Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake...
Wasalaam ndugu zangu
Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo:
1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi za kisiasa zinazohusiana na haki, usawa, na uendeshaji wa chaguzi.
Kauli mbiu “Bila CHADEMA hakuna uchaguzi” na “No reform, no election” imekuwa wito wa wafuasi wa demokrasia wakitaka mabadiliko ya kweli katika mfumo wa...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake
Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
Kwa Tanzania Lissu tofauti na huko nyuma anaonakana zaidi kama shujaa wa wanyonge na si kama mwenyekiti wa chama pekee.
Kampeni zake za mwaka jana zimempandisha chat zaidi hata ya zamani na Polisi kumshika kwa mbinu za zamani sasa watagundua nyakati ni tofauti.
Kuna watanzania wengi sana...
CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?
“Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume.
Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.
Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na...
Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza...
Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa chadema kwenye hafla hiyo ya kisheria.
Una maoni gani juu ya jambo hili ndugu mdau?🐒
Mungu...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali katika kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi).
Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.