chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    Lissu, CHADEMA katika mapito sahihi ya ukombozi. Wananchi na dunia iko pamoja nanyi!

    Haya ni yale tuliyokuwa tumeyakosa: Kumaanisha tunachosema. Kwa hakika washikie hapo hapo Kila mpenda haki aliyepo hawezi kusita kuwa nasi: Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na Mungu ibariki Tanzania.
  2. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni wazi CHADEMA wanamkumbuka Freeman Mbowe kama shujaa wa mikakati ya kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa na kujutia uongozi mpya kwa kukosa maono

    Eti heche nae ni kiongozi wa kitaifa. Hivi maelekezo yake yanaskizwa na yanafuatwa kweli ndani ya chadema? Kukosea kuchagua viongozi kuna gharama kubwa sana ndugu wadau wa JF. Eti heche nae ana bweka bweka kabisa na haijulikani ana mbwekea nani. Kigezo cha viongozi kupimwa afya ya akili kabla...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 CHADEMA kuendelea kukusanya saini milioni 15 kupinga wizi wa uchaguzi

    Wakuu, Fisiemu hatujaacha kukusanya saini banaa! G55 aibu yenu :BearLaugh: :BearLaugh:Watanzania tutafikisha saini milioni 30 afu tukae paleee tuwacheki chama cha mambuzi mnavyopaparuka Soma > Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi...
  4. gango2

    PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

    Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April. Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Heche: Chochote kikimpata Lissu akiwa gerezani Rais Samia utaijibu Dunia, tunafika Bunge la Umoja wa Ulaya tuoneshe uhalisia wenu

    Wakuu, Mambo ni motooo! ==== Heche amaesema lolote likimpata lissu akiwa gerezani Samia si tu atawajibu Watanzania bali ataijibu Dunia. Heche amesema suala la Lissu linafika kimataifa, wakili wake wa kimataifa Robert Amsterdam amesema kuanzia jumatatu suala la Lissu litafita bunge la umoja...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Heche: Wanatutishia CHADEMA itakufa tusiposhiriki uchaguzi na ife kuliko kuwa chama tunachosimamia uongo

    Wakuu, Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM! Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu...
  7. R

    PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

    1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi. 2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka). 3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
  8. Lizaboni

    PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola. Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:= 1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
  9. LIKUD

    PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects. Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇 " To every action there is an equal and opposite reaction ". Na hii ndio wasomi wa...
  10. I

    PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

    No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030 Tume ya Huru ya...
  11. Judi wa Kishua

    Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

    Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
  12. Wakusoma 12

    PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  13. MUSIGAJI

    PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu wamefanikiwa kwa kishindo

    Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi...
  14. Z

    PreGE2025 Unawezaje kujiita chama kikuu cha upinzani wakati una mbunge mmoja na covid 19 uliyofukuza uanachama?

    Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!! Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
  15. Idugunde

    Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  16. Mshana Jr

    PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  17. C

    CHAUMMA mbadala wa CHADEMA

    Ikiwa CHADEMA wamesusia uchaguzi Wana CHADEMA twendeni na CHAUMMA
  18. Kinyungu

    ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

    Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi: Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
  19. G Sam

    Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
  20. K

    Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

    CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Back
Top Bottom