Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA na kukabidhiwa kadi za CCM na katibu wa NEC itikadi, siasa na mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla...
Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu ..
Sasa iko Hivi..
Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe.
Wanakuja na plan B...
Kumbuka katika zile amri za mahakama pia ipo ile ya kuwa watulivu na kutofanya fujo aina...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.
Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha...
Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana.
Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho.
Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara.
Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani leo.
Lakini yapo mafanikio yoyote Chadema imepata kutokana na haya maandamano au Chadema inabidi...
WITO WA KUSHIRIKI KESI YA MH. TUNDU LISSU, JAMII KUFUATILIA MJADALA WA BUNGE LA ULAYA, NA TAARIFA YA UDUKUZI WA AKAUNTI ZA CHAMA.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu Watanzania na jamii ya kimataifa juu ya matukio matatu makubwa yenye athari kwa demokrasia na haki...
Kuna watu wasio na hatia walikwamatwa mahakamani walipoenda kumfariji kiongozi wao lissu na kupigwa kisha kutupwa msituni,
Sasa CHADEMA na Watanzania walihoji kuhusu hili suala linalo kiuka haki za binadamu kwamba zina baraka za waziri Bashungwa au laah?,
Mbona hatuoni waziri akiliongelea...
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:
Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai
Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kuwa msuluhishi wa yanayoendelea ndani ya chama hicho cha upinzani.
Amesema...
MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA.
"🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole...
Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.
Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeingia ndani ya mochwari (Friji la kuhifadhia maiti za binadamu) ili kujaribu kuutambua mwili wa Mwanachama wao aliyesemekana kutekwa na kupigwa na Polisi wa Mbeya kwa Maelekezo kutoka Juu.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekosoa kitendo cha baadhi ya wanasiasa kukosoa viongozi wa dini kujihusisha na siasa kuwa huo ni uoga.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake amewataka viongozi wa dini kutokuyumbishwa na maneno...
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumpa ushahidi wa watu wanaodai ni askari wamehusika na tukio la kumteka na kumjeruhi Mpalukwa Nyagali, maarufu Mdude na kuwataka...
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu
Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria Zacharia Obadi amesema viongozi hao walikuwa na makosa ya usaliti na kwamba...
Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari.
Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike.
Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
Vita bado ni kali, ila hawatashinda.
Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo ikiwa ni kuiomba mahakama isimamishe kwa muda CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa.
Taarifa hii...
Kwanza nianze kwa kusema kila mtu ana uhuru wa kupandisha mada yoyote humu na nasikitika wafuasi wa chadema kujiona wao ni bora, wenye elimu zaidi, wenye exposure zaidi ya mtu anaepingana nao. Hii ni dalili nyingine ya UJINGA.
......
Nachelea kusema CHADEMA mnachokifanya ni upuuzi na ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.