pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.
Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,
Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?
UBAYA UBWELA
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?
Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri