Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
CHADEMA haitoonea MTU Wala kumsingizia Wala lililo kinyume na KATIBA ya Nchi.
Isipokua Kila MTU ataletwa Mbele ya Mahakama na kuhukumiwa sawa sawa na Matendo yake.
Uwe Umekufa tayari, uwe upo hai, HUKUMU YAKO ITAKUFATA TU.
WALOJARIBU KUMUUA LISSU ,
Walomuua MAWAZO,
Walomuua/Kupoteza kabisa...
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.
Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani walau majimbo 50 ya uchaguzi (30 Tanganyika, 20 Zanzibar) katika uchaguzi wa 2025 huku ukimuhusisha...
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.
Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki...
Mpango mkuu wa wanadamu dhidi ya Chadema na Lissu, ni kuhakikisha chama anachokiongoza kinakuwa kwenye mgogoro mkali wa wao kwa wao ndani ya Chadema ili tu, mwenyekiti wake na timu yake yenye msimamo mathubuti na wasioiogopa haki, wasifanikiwe kwa chochote katika kuisaka haki ya wanyonge katika...
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema...
Madhara ya chama kikubwa kama CHADEMA kufanya maamuzi yake bila kufuata utaratibu wa vikao rasmi ni makubwa na yanaweza kuathiri ustawi wa chama kwa ujumla. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo, hasa kwa kuzingatia kauli ya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu:
1...
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu...
Wakati maalim seif anaondoka cuf, Umati wa viongozi wakubwa na wanachama walimfuata. Cuf ilipotea na imepotea kabisa.
Tofauti na Mbowe, licha ya kuwa mwenyekiti wa miaka Mingi kitendo cha leo kuondoka wanachama maarufu chadema kama salum mwalim, Kigaila huku hata makao makuu ya chadema...
Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni kutaka CCM ipite bila kupingwa, wakikutana watazichapa sana.
Hitimisho: Njaa...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, G55 ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia CHADEMA haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yoyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
Kupitia ukurasa wake wa X, Emmanuel Ntobi ameeleza kuwa amesikia msimamo wa waliojiondoa lakini yeye hana nia ya kujiondoa.
Ikumbukwe kuwa Ntobi alikuwa team Mbowe wakati wa kampeni, na alitoa maneno makali kwa Lissu hata kupelekea kuvuliwa uongozi aliokuwa nao.
===
"Nimesikia taarifa...
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Mwenyekti Lissu wa Januari mwaka huu.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Tawi la Msimbazi, Kata ya Tabata, Jimbo la Segerea mkoa wa kichama wa chama hicho wa Ilala mkoani Dar es Salaam kimemvua rasmi uanachama mwanachama wake Patrick John Assenga, kwa kile kilichoelezwa kupinga hadharani maazimio rasmi ya chama...
Wakuu za chini chini ni kua, Maamuzi ya Hakimu ya Leo yapo well coordinated and calculated.
Tarehe 19/5/2025 ,lile Genge la Wahuni wa UVCCM ,pamoja na Mamluki wao mbalimbali WAMEPANGA kuvaa nguo za Sare za CHADEMA tarehe Husika, Kisha wataanzisha Fujo nyingi sana Ndani ya Mahakama Fujo hizo...
Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana.
https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188
Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.