chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA epukaneni jazba, najua maumivu ni makubwa Mungu awajalie uvumilivu na utulivu

    Juzi niliandika Uzi hapa kuwataka CHADEMA kurudisha panga alani ili ijipange kiofisi Mara baada ya wapinzani wao kutumia nguvu haramu za kijambazi kuwadhulumu. Sasa naomba mje na mkakati mzuri wa ku cover ma gap ya kiuongozi ku replace walioondoka. Pia muwe watulivu acheni lugha za matusi kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema kushiriki Uchaguzi (2020) na kupata mbunge mmoja na Kutoshiriki kabisa Uchaguzi (2025) kuna tofauti yoyote?

    Unashiriki Uchaguzi unapata mbunge mmoja kutoka Wabunge 60 ulioachiwa na hayati Lowassa 2015 2025 huingizi timu uwanjani Sioni tofauti yoyote Wewe Je?
  3. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani

    CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Natoa Wito kwa CHADEMA kwa niaba ya Watanzania iziombe radhi Kenya, Uganda na Dunia Nzima kwa Udhalilishaji waliofanyiwa Wanaharakati wa Kigeni

    Hili ni jambo la Muhimu sana kufanyika sasa, tena lifanyike kwa haraka sana ili kulinda Watanzania walio Nchi zingine dhidi ya visasi. Mara zote wageni wanapokamatwa kwenye Nchi yoyote ya Kibinadamu inayojali haki za binadamu na inayoheshimu mikataba ya haki ya kimataifa hufikishwa Mahakamani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita ya CHADEMA hamishieni pia kwenye Tehama na propoganda ndani na nje ya nchi. Msililie. Hii ni vita ya kiubunifu

    Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake. Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliodai kutapeliwa na kufanyiwa siasa za ulaghai kuingia Chaumma wapokeeni CHADEMA watakaporudi

    Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba. Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali. Chadema...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Martin Masese awaumbua CCM na CHAUMMA waliodai kuibomoa CHADEMA, takwimu zasema vinginevyo kwa walioondoka

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maono:" NO REFORM NO ELECTION" Tumeshawaelewa, CHADEMA mkiingia kwenye UCHAGUZI huu baada ya hii presha mnayotoa 2030 mtachukua Dola

    Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi. Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli. Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii. "Sote...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: CHADEMA Tupo katikati ya Vita kubwa dhidi ya Watawala, njama zinafanyika kudhoofisha CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama na kujaribu kudhoofisha harakati za kudai mabadiliko ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Ijumaa, Mei...
  13. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kuna Mkakati wa Kijasusi wa CHADEMA mkakati wa siri Uliowekwa kati ya CHADEMA na CHAUMMA na CCM Inafanya Makosa Kutokujua Hilo, Japo Wanaambiwa..

    Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tishio la CHAUMMA ndio limefanya Chadema waitishe kikao cha kamati kuu kwa dharura leo?

    Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu. Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia. Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ya Ramaphosa kwa Trump , CCM na DOLA tambueni , Majaribio yenu ya kuwafumba midomo Watanzania na Wanadunia , Dunia inaona, na inatunza Ushahidi

    Unakuta Mafwele kaamua tu kwenja Uwanja wa Ndege, kumkamata Naibu Katibu Mkuu CHADEMA , Et kisa asiende Ubelgiji, akienda atahutubia ,ataichafua Nchi. Genge Hilo Hilo linawakamata Waangalizi wa kimataifa Kesi ya LISSU wanaokuja kusikiliza na kufatilia mwenendo wa Kesi , Kwa kisingizio Cha...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni Wakala wa Siasa – CHADEMA Sio Mali ya Familia Yako!

    Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Natabiri baada ya Uchaguzi, wana ACT wengi na hao CHAUMA(CCM C) wata isapoti CHADEMA na kuona ilikuwa sahihi kugomea huu usanii

    Ukiniambia ni jimbo gani kwa sasa upinzani wanaweza shinda kwa hii tume silioni huwa najaribu sana kutafuta majimbo ya wapinzani kuweza kushinda kwa hii tume siyaoni kabisa labda nyie mnisaidie. Kwa hii tume sijui ni jimbo la CCM kupoteza halipo sioni. Kumbuka kwa yale majimbo ambayo wabunge...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar apokelewa tena CHADEMA, wakanusha madai ya waliohama Chama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa chama hicho, ambao hivi karibuni walitangaza kujiondoa, wakidai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo na kinakosa stahiki za uendeshaji wa kimamlaka kwa upande wa...
Back
Top Bottom