Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ni muhimu kwa viongozi kufanya tathmini ya kina juu ya kiasi cha ruzuku ambacho chama kilikuwa kinapokea awali. Baada ya kupata taarifa sahihi, wawajulishe Watanzania waziwazi ni kiasi gani cha fedha hizo kinahitajika na watu wangapi wanatakiwa kuchangia, pamoja na kiwango cha mchango kwa kila...
UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA
Na Nulphin Charles (Jenerali)
Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
Lema aendelee kutoa Elimu ya Tume .
Heche aendelee kusema Ufisadi, Ujinga wa Viongozi wetu kukosa maono , Madini, Maziwa , Mali Asili zote ,Ufujaji wa PESA za Wananchi ,Utekaji ,Uuaji n.k ( Heche ana Karama katika eneo hili).
Sasa awepo MTU wa kuzungumzia ,kwanini tunataka Mabadiliko kwanza...
Kama nilivyoandika wakati Fulani kua kwenye Uzi huu kua Pre GE2025 - CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!
Naomba Leo nichukue tena nafasi, Kwa Kiongozi wa Chama unayezunguka kwenye mikutano ya NRNE, nitumie Meseji...
Kamati Kuu ya CHADEMA imepanga kukutana tena June 03, 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya siasa kisha itatoa mwelekeo
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiongea Jijini Arusha leo July 28,2025 amesema "Mmemsikia Msajili wa Vyama ameifutia CHADEMA ruzuku, ametishia kukifuta...
Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025.
Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi...
GT
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba CHADEMA imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa Watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya CHADEMA.
Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo...
Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
Baada ya maamuzi ya msajili so to say sasa CCM na serikali yake inapambana na Heche tu sio?
Hata marefa kwenye kutoa kadi nyekundu huwa wanakuwa na aibu aisee hii sio mchezo!
Je ni udhaifu wa CCM na serikali kwenye mapambano au ni woga?
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili, Edson Kilatu amehoji maswali 10 akitaka kuzingatiwa kwa Sheria ya vyama vya Siasa ya 1992.
Soma pia...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana.
Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri...
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.