chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

    Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hiki ni kitu gani? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi

    HIKI NI KITU GANI? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa TUME; wanaojibu ni CCM. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa Mahakama zetu; anajibu msemaji wa serikali au wa CCM. Kwa kuwa imekuwa kawaida kwa watendaji...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

    Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida. Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Bila CHADEMA, CCM wanaenda kupiga 100% - 0%, sioni nafasi ya ubunge wa kupewa wanaouota ACT na CHAUMMA

    Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini. Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Maagizo ya leo ya Rais Samia kwa Wakuu wa Mikoa wapya, ni dhahiri Tanzania hakuna Chaguzi Huru. Chadema wako sahihi na No Reforms No Election

    Akiwa anawaapisha Wakuu Wapya wa Mikoa Ikulu Dodoma, Rais Samia kawasifia kuwa wengi wao wamelelewa tangu chini na Chama cha Mapinduzi na kwa sababu mwaka huu ni wa Uchaguzi wakahakikishe wanasimamia Uchaguzi vilivyo na kuwadhibiti vilivyo Wapinzani. Hakuishia hapo katoa Maelekezo maalum kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lema amesema Maria Sarungi ni msaliti anaitafuna CHADEMA ndani kwa ndani

  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge lahitimishwa - Je, 'No Reforms' ya CHADEMA imezikwa rasmi?

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025 litakapokamilisha kipindi chake kikatiba. Baada ya hatua hiyo itafungua rasmi dirisha la kuelekea uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania maoni yangu: chadema angalieni mbali!

    wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais CHADEMA kwa Sasa yuko CCM, CHADEMA itashinda Uchaguzi Mkuu! RAIS Huyu ajaye atatumika Kumtuliza LISSU na kuleta Suluhu...

    Ukweli ni kwamba, Ile timu utekaji na Mauaji na Majaribio ya mauaji , ni timu ambayo mpaka muda huu inajiuliza, Ikitokea LISSU ambaye ni Mwenyekiti CHADEMA ndio huyohuyo akawa Rais ,itakuaje ?. Kwa Upande wa pili, Wazalendo walioko Ndani ya Dola, wanakubaliana kua, CCM imechokwa, Uchaguzi pekee...
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali msiingie kwenye huu mtego. Lissu na CHADEMA yako mkomae mpaka mwisho

    Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko CCM hawataki mabadiliko ya katiba maana wanajua tukiwa na katiba kama ilivyopendekezwa na Jaji warioba mwisho wao utafika Ikumbukwe huko nyuma walishaahidi sanaa juu ya katiba...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

    Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena. Kufuatia hotuba...
  13. JamiiForums Tanzania Naipongeza CHADEMA ya Lissu kwa kutopeleka muwakilishi bungeni

    Huu ni msimamo thabiti na madhubuti. Huwezi kushirikiana na wanasiasa wasiojali utu, kulinda mali za umma na wasio na huruma. Hongereni sana.
  14. JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: CHADEMA Kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani

    Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.” Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa diwani wa CHADEMA ahamia CCM

    Aliyekuwa Diwani wa kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru aliyemaliza Muda wake Jun Kupitia Chadema Mhe JOHN EDWAR SENEU ( JOMBI) Leo amerudi CCM na kupokelewa na viongozi wa Tawi la ilkurei kata ya Kiranyi , Mapokezi ya Mhe JOMBI yameshudiwa na Sekretariet ya CCM Wilaya wakiongozwa na CDE CAMILA...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yathibitisha kushiriki uchaguzi

    Kuna pahali nimeona chadema itashiriki uchaguzi je habari ni ya kweli?
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho ajiuzulu na Kujiondoa uanachama

    Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Diwani na mjumbe wa serikali kwa tiketi ya CHADEMA “Nimejivunia...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai

    Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo. Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  20. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…