chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  2. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

    Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo? Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kilwa: Heche achunguzwe tuhuma za Fedha ndani ya Chama

    Kelele za ajenda hii zimekuwa nyingi kweli! Acha nione mwisho wake ========== CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kilwa kimetoa msimamo wao juu ya tuhuma za Fedha ndani ya Chama hicho zinazomuhusisha Makamu Mwenyekiti John Heche. Soma Pia: Katibu wa CHADEMA Jimbo la Handeni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi Sadaka yangu ya mwezi huu July kwenda CHADEMA

    Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu. Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

    https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
  8. JamiiForums Tanzania Nimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kkuchang.

    Nimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kuchanga anytime! Tuchangie zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Uovu wa viongozi wa CCM aliousema Polepole ndio sababu ya CHADEMA kukubalika kama chama cha ukombozi.

    Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai. Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa. CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
  10. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

    Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
  11. JamiiForums Tanzania MPASUKO CCM vs UKUAJI WA CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejenga sifa ya kuwa na nidhamu kali ambapo maamuzi yakishafanyika kwenye vikao, sauti ya chama inakuwa moja. Hata hivyo, katika misimu ya hivi karibuni ya kisiasa, viongozi wa ngazi mbalimbali wameonekana kutoa kauli zinazongana hadharani kwenye masuala ya msingi ya...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA tusiingie kwenye mtego wa Nchimbi na CCM yake

    Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo. 1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Hilda: Hawa nao wamendaliwa Press kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    ‼️ALERT ‼️ Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja. Muda wowote kuanzia sasa mtaona video yao ambayo inatokana na hii picha niliyowapostia, Vibaraka wa Nduli Idd Amin Mama...
  14. JamiiForums Tanzania Badala ya kupambana na Manabii na mitume feki, mnapambana na CHADEMA

    Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki. Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika. Baadhi ya Manabii...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Msigwa roho inamuuma Wananchi kuchangia ToneTone ya CHADEMA, wakati CCM ilichangiwa Tsh. Bil 86.3 na hakusema chochote?

    Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote. Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana? Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi zile kampeni za michango ya pesa kwajili ya Chadema na CHAUMMA zimefikia wapi mpaka sasa?

    Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi? Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote. Nini kinaendelea kwa sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, wafanyabiashara na wamachinga wanaichangia CHADEMA sababu wanataka ukombozi. Sio kwamba hawajitambui

    Kwanza kabisa umeongea Pumba. Kwamba CHADEMA inawarubuni wafanyabiashara ili waichangie badala ya kutunisha mitaji yao. Kumbuka kuwa watu wanatambua kuwa wewe na wanaCCM wachache mnakula keki ya taifa. Hamuwajali Watanganyika. Watanganyika wanataja CCM iondoke madarakani. Na wameishaichoka...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda mikakati ya CHAUMMA kwenye uombaji wa michango kwa waTanzania, ikaipiku ile ya CHADEMA pakubwa kwenye kiasi cha makusanyo ya pesa

    Kwasababu sote ni mashahidi, kwamba mikakati hii ya CHAUMMA inaweza kuwaduwaza na kushangaza wengi kwenye kiwango cha makusanyo yao kwenye mikakati yake ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Mpango huu unaweza kua wa uwazi zaidi na wakuaminika kwa wachangiaji ukilinganisha na taratibu za...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…