Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.
Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka...
Juzi niliandika Uzi hapa kuwataka CHADEMA kurudisha panga alani ili ijipange kiofisi Mara baada ya wapinzani wao kutumia nguvu haramu za kijambazi kuwadhulumu.
Sasa naomba mje na mkakati mzuri wa ku cover ma gap ya kiuongozi ku replace walioondoka.
Pia muwe watulivu acheni lugha za matusi kwa...
CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Hili ni jambo la Muhimu sana kufanyika sasa, tena lifanyike kwa haraka sana ili kulinda Watanzania walio Nchi zingine dhidi ya visasi.
Mara zote wageni wanapokamatwa kwenye Nchi yoyote ya Kibinadamu inayojali haki za binadamu na inayoheshimu mikataba ya haki ya kimataifa hufikishwa Mahakamani...
Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake.
Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba.
Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali.
Chadema...
VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi.
Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli.
Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii.
"Sote...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama na kujaribu kudhoofisha harakati za kudai mabadiliko ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Ijumaa, Mei...
Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini.
Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.
Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
Unakuta Mafwele kaamua tu kwenja Uwanja wa Ndege, kumkamata Naibu Katibu Mkuu CHADEMA , Et kisa asiende Ubelgiji, akienda atahutubia ,ataichafua Nchi.
Genge Hilo Hilo linawakamata Waangalizi wa kimataifa Kesi ya LISSU wanaokuja kusikiliza na kufatilia mwenendo wa Kesi , Kwa kisingizio Cha...
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.