chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Erick Joshua: Kuhama chama hiki kwa baadhi ya viongozi si kwa sababu ya udhaifu wa CHADEMA, bali ni kwa maslahi yao binafsi

    Kaimu Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Erick Joshua, amesema kuwa kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujaathiri uimara na mshikamo wa chama katika Jimbo la Siha. Akizungumza hivi karibuni akiwa Siha mbele ya viongozi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tunalaani Polisi kuwashikiliwa Wanachama wetu wa Kibaha

  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wanajifanya wanamtetea Lissu lakini ukiwauliza nyie mpo chama gani wanasema hawana chama wanaona aibu kujiita ni CHADEMA kwasabu wanajua maovu yao

    Mfuasi wa CHADEMA utakuta anatukana watu lakini ukijaribu kumuuliza upo chama gani anasema yeye Hana chama hii ni laana wanaishi kwa laana za kutukana watu ndo maana wanaona aibu hata kujiita chadema Ukosefu wa maadili wa wafuasi na viongoz wa CHADEMA ni mkubwa Sana nchini imefikia mahala...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mbona tangu baada ya CHADEMA kusambaratika na kufa hakuna tena habari, story, porojo na drama za utekaji?🐒

    Mbona tangu baada ya CHADEMA kusambaratika na kufa hakuna tena habari, story, porojo na drama za utekaji?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yafungua shauri kupinga maamuzi ya msajili wa vyama kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema (Mh Heche) yatolee tamko maneno haya ya Mulilo leo katika mkutano wa amani katika (uchafuzi" ujao

    1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa...................... 2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT Ngoja tuone
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Obad: Msikubali kusaliti mapambano ya kudai haki kivyovyote vile

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti mapambano ya kudai haki nchini. Akizungumza na JAMBO TV siku ya Jumatano, Obad amedai siku za hivi...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

    Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba. Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amzidi wafuasi John Heche mara mbili, Dotto ana wafuasi 1.2 instagram, Heche laki tano tu, je wanachama 13 milioni wa chadema wako wapi?

    Sensa fupi ya mtandao wa Heche inaonyesha hali hii. Heche angegombea leo angeishia kura laki tank, bora amekimbia
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

    Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws). Tunashukru Mungu mpaka...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    "Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi amesema CHADEMA imepoteza mvuto wa kitaifa

Back
Top Bottom