chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kama siyo CHADEMA wala CHAUMMA - Twendeni na MWAJUMA?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuchagua ni kuamua; kutokuchagua nako ni kuamua. Kuamua kuchagua au kuamua kutokuchagua yote ni kuamua kuchagua au kutokuchagua. Hivyo, uamuzi ni uchaguzi, na uchaguzi ni uamuzi. Kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 Watanzania wanaitwa kufanya uamuzi na uchaguzi; au...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau abadili mkakati, aingia masokoni kumnadi Rais Samia

    Felista Njau, ameibua mbinu mpya kwa kuacha mikutano ya hadhara na badala yake kuingia moja kwa moja masokoni, akiwafikia wakina mama na wafanyabiashara wadogo. Njau, ambaye sasa ni sehemu ya timu ya kampeni za CCM, anasema mkakati huo unalenga kuwafikia makundi ambayo mara nyingi hayapati...
  3. JamiiForums Tanzania POTOSHI Dkt. Slaa amesema Falsafa ya CHADEMA hairuhusu chama kushika dola, inafanya kuwa wahaini

  4. JamiiForums Tanzania POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  5. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kukubali kuongozwa na Mange ni kujiamua kujimaliza kisiasa

    Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  7. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  8. JamiiForums Tanzania Ukatili wa polisi na mahakama isio huru ni dhahiri kuwa taifa linahitaji mabadiliko. CHADEMA ya Lissu ipo sahihi

    Taifa linahitaji katiba ambayo mkuu wa jeshi hata kama akiteuliwa na raisi kama Amiri jeshi mkuu aweze kushtKiwa na kuwajibishwa kisheria. Jaji mkuu aombe nafasi hiyo kama anaomba ajira. Ili akiajiriwa asiwe na upendeleo. Sio kuteuliwa na kupendelea aliyemteua. Watu wanapigwa mahakamani. Jaji...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi: Tumewadhibiti wafuasi wa CHADEMA walioleta fujo Mahakama Kuu Dar es salaam

    Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutanisha wadau kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Demokrasia

    Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini. Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Ngome ya Vijana Act Wazalendo yalaani Polisi kupiga wanachama wa CHADEMA ya Lissu

    Unyama na ukatili "Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tunalaani vikali ukatili na unyama huu unaofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya Raia wanaotumia haki na uhuru wao wa kufuatilia kesi Mahakamani kwa amani na utulivu. Hili ni shambulio kubwa dhidi ya haki, Demokrasia na uhuru wetu. Hatuwezi kukubali...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi iheshimu eneo la Mahakama na Watanzania wanaofika kufuatilia kesi

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine. Leo Jumatatu, Agosti 15...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

    Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya kuambiwa ukumbi umejaa.
  15. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi: Heche na Lema mmeiua CHADEMA kwa uongozi wa Mabavu

    Habari wakuu, Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja na Jonathan Lema kuwa uongozi wao wa Mabavu umeua CHADEMA ilhali tangu CHADEMA ikumbwe na matatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

    Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na...
  17. JamiiForums Tanzania POTOSHI Kupitia kikao cha mtandaoni CHADEMA, Joseph Mbilinyi asema wanaikataa No reforms, No election

  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tafakuri ya Askofu Bagonza kwa yanayoendelea CHADEMA, CCM na Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii: FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki. 1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa sheria CHADEMA: Jeshi La Polisi wamezuia dhamana ya Lucy Shayo

    Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu: "Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: CHADEMA wanavunja sheria waende mahakamani

    Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA. CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…