chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

    WanaJF Salaam Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA. Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni vyombo vya habari. Huu sio wakati wa kulalamika

    Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari. Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020...
  3. JamiiForums Tanzania Hoja yangu CHADEMA Jana walihujumiwa

    Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema. Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato. Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuipongeza CHADEMA ni wakati wa kuuonya Upinzani

    Nichukuwe nafasi hii kuipongeza Chadema kwa mambo kadhaa . Kwanza kwa kujuwa nafasi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani na kuwa chama kiongozi miongoni mwa vyama vya upinzani Tanzania. Nawapongeza kwa kuonesha siasa mbadala. Nawapongeza kwa kuanza kukomaa na kutoendeshwa kwa matakwa ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chadema badala ya kupigania Tume huru ya uchaguzi wao wanataka NEC isimamie uchaguzi wa Serikali za Mitaa badala ya TAMISEMI

    Kuna wakati ukivifikiria hivi vyama vya upinzani unaelewa ni kwanini CCM inaweza kuongoza hii nchi kwa namna inavyotaka. KUB anaomba eti NEC ndio isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa badala ya waziri wa Tamisemi.......yaani anaamini hapo ndio haki itatendeka. Binafsi sioni tofauti kati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho. Lissu amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

    Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema. Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  9. JamiiForums Tanzania Hii sio haki kabisa, CHADEMA wana-fake viewers

  10. JamiiForums Tanzania Pale CHADEMA wanaponajisi Tunu ya kwenye Katiba

    Wimbo wa Taifa ni moja ya "tunu" zilizoainishwa kwenye Katiba. Kitu kikiitwa 'tunu" sifa kuu ni kuheshimiwa. Heshima kwa wimbo wa Taifa ni pamoja na kutouimba sehemu isiyostahili, kutobadili maneno, tune au mpangilio. Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa Taifa kwenye mazishi ya mbwa wako au...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: CHADEMA ni kama treni ya abiria, siyo lazima wasafiri wote wafike mwisho wa safari, wengine hushukia vituo vya njiani

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa Iringa Mjini amekifananisha chama chake na treni ya abiria. Msigwa ambaye alikuwa anahojiwa na mtangazaji Godfrey Monyo wa ITV aliyehoji kwanini viongozi wa Chadema wanahamahama alisema abiria wa treni siyo lazima wote wafike mwisho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

    WanaJF duniani kote,Wasalaam! Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi. Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itaongozwa na wanachadema wenyewe tunawatakia uchaguzi mwema

    Kiukweli Chadema itaongozwa na wanachadema wenyewe kama ilivyo UDP ya mzee Cheyo, TLP ya Mrema, Nccr ya Mbatia na Chauma ya mzee Rungwe ambavyo vinaongozwa na wanachama wa vyama husika. Ya ngoswe mwachie ngoswe. Sherehe siyo yako kiherehere na masufuria na masinia cha nini? Kwa niaba yangu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

    Akifungua Mkutano wa Baraza hilo leo tarehe 17 / 12/2019 Mh Mbowe amesema , njama za Awamu ya 5 za kuua Chadema zimesababisha mfumuko wa wanachama na viongozi wapya nchi nzima , jambo lililopelekea chama kuimarika zaidi
  17. JamiiForums Tanzania Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

    Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ni kama vile wanabet Mbowe yuko mahakamani na Tundu Lisu yupo uhamishoni wamebaki Sugu na Lema

    Kupanga ni kuchagua na mara zote umakini unahitajika sana. Chadema inakwenda kwenye uchaguzi mkuu utakaompata Mwenyekiti na makamu wake pamoja na kamati nzima ya utendaji. Miongoni mwa wagombea wa nafasi hizo ni mh Mbowe na wakili msomi Tundu Lisu bila kumsahau mh Mwambe. Angalizo muhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...
  20. JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa Chadema hauwezi, urais wa Jamhuri ya Muungano Lissu atauwezea wapi?

    Good morning people! Inasemekana kwamba mwaka 2020 Chadema imepanga kumsimamisha Tundu Lissu kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya CCM ya Magufuli. Inaleta walakini kama mtu anayejinadi kuwa na uwezo wa kuongoza nchi kushindwa kuongoza chama chenye wanachama milion...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…