Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni CHADEMA!

Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni CHADEMA!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903
Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni Chadema!

Maana kuna watu bado wanajidanganya mpaka leo. Sasa wapinzani wa Tanzania ni watanzania wenyewe na hawana chama wala nini lakini wana maumivu yanayo fanana
 
Na ole wake hao chadema waje watuambie ujinga wa maridhiano.

Atakayeleta proposal ya maandamano tutamkaanga vizuri.
 
Back
Top Bottom