chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    Wabunge waanza kuaga alianza Prof Tibaijuka akaja Mkuchika na sasa Japhary wa Chadema

    Kiukweli nawapongeza hawa wabunge kwa ujasiri walioonyesha wa kutangaza mapema kutotetea ubunge wao na hivyo kutoa fursa kwa vijana. Mungu awabariki!
  2. Ahadi ya kuua CHADEMA kabla ya 2020 imefikia wapi? Tunaomba mrejesho

    Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia . Naomba kuwasilisha .
  3. D

    Hakuna sehemu nyingine yoyote kwa CHADEMA kumaliza hasira zao ni hapa

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ndiyo sehemu pakee kwa CHADEMA kumaliza hasira zao kwa CCM kwani ni mwendo wa kuchukuwa mitaa yote na vijiji nchi nzima hili kurudisha hishma. Na wengi tunajua hilo linawezekana kwani Freeman amewai kusikika akisema wananchi wanahasira.
  4. M

    Serikali ifuate ushauri wa CHADEMA

    Kwa kuwa wapinzani wengi hasa CHADEMA wanashauri maendeleo si ya vitu ila yanatakiwa yawe ya watu, napendekeza serikali ifute ruzuku kwa vyama vya siasa ili pesa yote inayotolewa kwa ajili ya ruzuku itumike katika maendeleo ya watu vijijini, tofauti na ilivyo sasa pesa za ruzuku zinatumika...
  5. J

    CHADEMA waja na sera mpya ya upepo wa kisulisuli itakayowaunganisha wapinzani

    Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto. Source Tanzania Daima!
  6. Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

    CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
  7. Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu. Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
  8. W

    Heko Chadema, heko Waziri Kivuli wa Afya

    Ndugu zangu, Ninaupongeza upinzani wa awamu ya tano kwa kuja na mbinu mbadala ya kudhibiti magonjwa ya mlipuko. Heko Chadema, Heko waziri kivuli wa afya.
  9. Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  10. A

    Mbona Edward Lowasa Arudi CCM?

    Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
  11. Taarifa za kuugua kwa Prof. Mwesiga Baregu

  12. Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

    Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi. Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
  13. Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

    Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili. Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
  14. Zitto Kabwe tumia vizuri hii fursa ya CHADEMA kususia chaguzi zote nchini

    Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa. Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama...
  15. Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
  16. T

    Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni kilio kwa Upinzani nchini

    UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF. Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...
  17. C

    Mwigulu Nchemba: Vyama vya Upinzani ni adui mwingine wa Taifa. Awahusisha na matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani

    Waziri wa mambo ya Ndani mh Mwigulu Nchemba akijibu swali la mbunge wa viti maalum wa chadema cesilia pareso amesema":- "Uzoefu umeonyesha ya kwamba muongeaji chama chake (CHADEMA) kinaposhiriki kwenye uchaguzi ndio kuna kuwa na matukio makubwa sana ya kihalifu. Kuna uchaguzi mmoja chama chako...
  18. K

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  19. Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

    Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana. ======== Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo...
  20. Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

    Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni. Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona! Dk Mwakyembe, Nassari wapimana Waziri wa Habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…