chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Nilisikia Malalamiko mengi ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM je mliyapeleka kisheria Ila Mwenyekiti hakuiitisha Kamati au NI ya kwenye mtandao.

    Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na. 1 Kutumia magali ya serikali. 2.Kumtumia Mawaziri mkuu. 3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri. 4.Mgombea wa CCM kutofata ratiba ya tume. 5. Tuhuma dhidi yenu ya kuuza nchi mkichaguliwa. 6. Kauli zilizowahi kutolewa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

    Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema. Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume? Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili? Hadi wachapishe form moja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

    Huyu Mama Susan Kiwanga amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je, rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

    Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote. Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati kuu ya CHADEMA, tunaomba mtuletee maazimio yafuatayo

    Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni kwa ndugu Tundu Lissu. Kwa minajili hiyo mimi kama mwananchi naomba kamati kuu iazimie yafuatayo 1...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Nimefurahi sana Mke wa Lissu yuko vizuri mno kunadi CHADEMA kuliko mumewe Lisu, Chadema mpeni aongoze kampeni

    Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera. Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi. Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe...
  7. JamiiForums Tanzania Why CCM versus Chadema and not other political parties?

    In Tanzania there are lots of political parties, but in every election only two political parties -- CCM and Chadema -- dominates, carrying out the largest rallies across the country. The small political parties better learn the strategies used by CCM and Chadema in their campaigns.
  8. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 3 Chadema na ACT-Wazalendo watafanya jambo muhimu mno

  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

    Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa. Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA msifanye kama wanavyofanya CCM

    Kutenda kosa kwakuwa CCM inatenda kosa sio Kinga kwenye adhabu ya kosa ulilotena. Kama CCM na wagombea wake Kuna kosa la uchaguzi wanalitenda njia sahihi ya kwanza ni kupeleka Tume au kwa msajili kwa maandishi makosa yao. Kama hatua haichukuliwi dhidi ya mlalamikiwa ndio mfikirie kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema. Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  13. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  14. JamiiForums Tanzania Chadema acheni kulalamikia kauli zinazodhilisha kukiri kushindwa kwenye nafasi ya uraisi. Jibuni hoja kwa kutumia Akili kubwa.

    Naona mnalalamika Sana kauli za mgombea anayejiamini kushinda kuwa akiwekewa mtu wa chama kingine haleti maendeleo. Kampeni Ina Visa na Mikasa yake. Kulalamikia kauli hizo NI kukili hamta shinda nafasi ya Uraisi. Kwanini mnakili hivyo Sasa. Lazima muwe na watafiti wa kubaini NI Sera au kauli...
  15. B

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI

    30 September 2020 WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na IGP Sirro waheshimu viongozi wa Chadema akiwemo Tundu Lissu. Kwanini wanadhalilishwa kana kwamba wao ni watu baki ktk nchi yao?

    Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema? Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu? Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa Chadema. Kutokana na matukio ya Polisi kudhalilisha viongozi wa Chadema kuwa mengi, naamini wapo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ukiingia mitandao ya kijamii huoni hotuba za mgombea kwa urefu badala yake, pilikapilika za mapokezi

    Kuna wakati hapo nyuma, ambao baadhi yetu tulitilia Shaka Sana organization ya Chadema ktk Mambo kadhaa wakati huu wa kampeni. Kuna Mambo mengi wamefanyia marekebisho nakubali na Mambo yako sawa. Suala ambao bado naona hawatutendei haki sisi ambao tunakuwa hatupo physically kwenye mikutano ,ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama angesubiri tu CHADEMA na ACT-Wazalendo viungane ili avifutilie mbali badala ya kulalamika lalamika kila siku!

    Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria. Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali. Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana. Maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

    Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni. Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…