Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,771
Tulipambana sana kukijenga chama lakini kwa fitina na tamaa mbaya mkakiharibu chama chetu. Hii ilikuwa mwaka 2015. Na namna mlivyokiharibu kila mtu anajua.
Kujiunga na chama chochote kile ni haki ya kila mtu kama ilivyowekwa wazi katika ibara ya 20(1) ya Katiba ya JMT.
Tunahamia NCCR Mageuzi sababu ni chama ambacho hata muundo wake hauko kikanda na kikabila. Na tuna uhakika kina misingi ya kuleta udugu ndani ya nchi. Kama awali Dkt. Slaa alijaribu kuunganisha CHADEMA na kuondoa dhana ya ukabila na ukanda, ila mkaletea mizengwe. Hivyo tunapohama tuacheni tutekeleze haki yetu ya kimsingi ambayo imeanishwa na Katiba.