chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Kuna haja ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri CHADEMA kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa chama hicho walioadhibiwa baada ya kwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum na kutotokea mbele ya Kamati Kuu kujieleza. Wanachama hao, ambao ni pamoja na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

    Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar. Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar? Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema. Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK. Dalili zinaonyesha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

    Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri. Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti. 1. Prof Kitila Mkumbo 2. Mh Pauline Gekui 3. Mh Patrobas Katambi 4. Dr Godwin Mollel 5...
  8. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

    Other interesting cabinet stats minus deputies: Full ministers – 23 19 (83%) are men 4 (17%) are women 9 (39%) are PhD holders 0 -member from Zanzibar
  9. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni kwa ajili ya kutafuta vyeo wakikosa vyama husambaratika ngoja tuwaone Chadema!

    Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi. Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani. Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

    Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli? Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana. Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM. Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

    Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli. Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

    Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje. CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Halima Mdee ni Mwanachama au siyo Mwanachama wa CHADEMA?

    Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje? Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge? Naomba vifungu vya Katiba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vijenge hoja kwa wafadhili zile Tsh. Trilioni 2 za sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, ziletwe kujenga Upinzani Tanzania

    Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao. Najua ni ngumu, lakini hakuna lisilowezekana, inategemea unasimamiaje hoja yako. Kwa haya yanayoendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza press ya Mbowe na ukisikiliza press ya Mdee pana Igizo la Kanumba

    Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba. Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC. Sasa CHADEMA itaonekanaje...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama tarehe 19 Tume ilipokea barua yenye majina ya Viti Maalum toka CHADEMA. Je, ilifanya lini mashauriano na CHADEMA?

    Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua. Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Wabunge 19 wa CHADEMA ni wa kimaslahi zaidi kuliko Kisiasa

    Tangu chaguzi za vyama vingi zianze mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa na malalamiko na madai hayohayo ya kuibiwa kura na tume isiyokuwa huru, lakini vyama vya upinzani havijaacha kuhudhuria vikao vya bunge wala kuteua Wabunge wa viti maalamu kwenda kuapa na kuhudhuria vikao vya Bunge. Mara...
  19. JamiiForums Tanzania Ile CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim inajirudia kwa CHADEMA ya Mbowe na CHADEMA ya Halima

    Nakumbuka ilianza mzaha mzaha kama hivi. Huku wanafukuzwa, kule msajili anawatambua. Mwisho mgawanyo ukatokea na sote tuliona kilichotokea watu wakagawana fito na CUF ikabaki hii ilivyo! Sisemi CHADEMA nayo itakuwa kama CUF ila naona hii trailer inavyoanza ni kama movie ile Ile. Kipindi kile...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Facts Check: Mdee na kundi lake huenda wametekwa au walikuwa majasusi kindakindaki ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu watanzania awali ya yote nimshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupa pumzi kama Taifa Leo tupo hakika ni utukufu kwake. Awali ya yote niwausie na kuwashauri vijana wa SASA badala yakupenda bongo flavor na mambo ya dunia ni muda SASA yatupasa kufungua macho nakuanza kusoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…