chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

    Shabbati Shalom from Jerusalem, Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Naomba makada wa Chadema tupeni mwanga juu ya habari ya mzee Halimoja ambaye ni kada wa Chadema. ======= Na Mzee Yusuf Halimoja - Gazeti la Mtanzania KAMA tujuavyo, baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Watanzania walikuwa huru kuanzisha vyama vya siasa. Kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, CHADEMA wako majimboni kwa mikakati

    Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, Chadema wako majimboni kwa mikakati madhubuti kidigitali kuipanda Imani...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza CCM na Chadema tunaweza kusimamisha mgombea mmoja 2025

    Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa. CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni muhimu lipongezwe!
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka 2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka 3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka 4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka 5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara? Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya CCM Digital na Chadema Digital

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waeleza kuridhishwa na mwenendo wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia. Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa. Source ITV habari!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Muarobaini wa CHADEMA kuibwaga CCM chaguzi zijazo

    Ni ukweli usiopingika kwamba chama pekee chenye walau rasilimali za kutosha kuweza kupambana na CCM kwenye ulingo wa siasa za Tanzania ni Chadema. Hata hivyo kwa mtazamo wangu chama hiki lazima kijiangalie upya namna kinavyoendesha siasa zake. 1. CHADEMA iache kufikiri kwamba itashinda uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi. Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

    Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote. Ndio nauliza...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE FREEMAN...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

    Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM. Kazi Iendelee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…