chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aomba radhi viongozi wa CHADEMA na Wanaharakati aliowatuhumu kuhongwa na Amnesty International

    Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani. Yericko Nyerere: IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI. Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye post ya juzi kuhusu nyaraka hii ambayo imethibitika ilikuwa ni ya uzush wa mitandaoni, maoni yangu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jopo la Mawakili wa Said Issa Mohamed watoa tamko wakisisitiza CHADEMA haitakiwi kujihusisha na siasa

    Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanywa Mtaji na Vijana wa CHADEMA?

    Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wanapotosha Umma zuio la mahakama kutofanya siasa Linaendea

    VIDEO: Siku chache baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2) wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza kuutangazia umma kuwa zuio la Mahakama Kuu lililokuwa limetolewa Juni 10.2025 likipiga marufuku...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema wanaenda kuokolezi moto wa hasira za wananchi

    Kwa mda mwingi wananchi walifungwa mdomo wa kuwasemea baada ya Tundu Lissu kufungwa,Chadema kusimamishwa wasifanye mikutano,Heche naye kufungwa na wapendwa wetu kuuwa kama mbwa,sasa moto unaenda kuwaka mpaka kibibi akimbie
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania: UN experts condemn post-election lethal crackdown and digital blackout

    04 December 2025 GENEVA – UN human rights experts* today condemned reported widespread and systematic human rights violations in Tanzania following the general elections on 29 October 2025, including allegations of hundreds of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass arbitrary...
  10. JamiiForums Tanzania Sina chuki na CHADEMA wala CCM, niliyoandika yalikuwa madhaifu ya kila Chama, vyama vya Siasa vinachochea maendeleo, yaliyotokea Oktoba 29 yasijirudie

    Hakuna Chama Takatifu cha Siasa duniani, kila Chama kima madhaifu yake, kinachotakiwa kufanyika ni kusahihishana, kusamehana na kusonga mbele Niliyoandika katika nyuzi zangu zilizopita yalikuwa ni madhaifu ya kila Chama na sii udalali wa siasa au uchawa kwa lugha ya mtaani Binafasi sina chuki...
  11. JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kuanzia leo Februari 11, 2026, CHADEMA tupo huru kutumia ofisi za chama na mali zetu zote

    https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Morogoro, CHADEMA hawakuhudhuria

    Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo. Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
  13. JamiiForums Tanzania Walioishtaki CHADEMA waweka pingamizi kupinga ombi la Lissu kuingizwa kwenye kesi

    Said Issa Mohamed aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, pamoja na wenzake wawili, wamewasilisha mapingamizi wakipinga ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu la kuingizwa kama mdaiwa katika kesi ya mgawanyo wa mali waliyoifungua katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar...
  14. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuanzia leo Februari 11, 2026 tuko huru kutumia ofisi na mali zetu zote

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa amewatangazia wanachama wa chama hicho kuanzia leo Februari 11, 2026 wako huru kutumia rasilimali za chama hicho zikiwemo ofisi na magari, kwa kuwa sheria inawaruhusu kufanya hivyo. Akizungumza kwa niaba ya Katibu mkuu wa chama hicho leo Februari 11...
  15. JamiiForums Tanzania Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

    Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, ameeleza kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliotupilia mbali mapingamizi ya chama hicho katika shauri la mgawanyo wa mali. Uamuzi huo umetolewa leo, Jumatano...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli CHADEMA wamechanganyikiwa baada ya kufeli mipango yao miovu

    Mtu atajilikana kuwa ni kichaa kwa mavazi, muonekano wa sura yake au kauli zake. Ila 90% uendawazimu wa mtu hupimwa kwa maneno yake. Huku 10% tu ndio tutampima mtu kwa mavazi, nywele na muonekano. Kauli mbili za Heche ndani ya hotuba moja zinathibitisha kuwa John Heche vice chairman wa CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  18. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake

    Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo utatolewa tarehe 11 Februari 2026 saa tatu asubuhi.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mbeya: Mlinzi wa Lissu hajulikani anashiliwa kituo gani. Polisi wakana kuhusika

    TAARIFA KWA UMMA. Juu ya kiongozi mwenzetu ambae ni Mlinzi wa Mhe. Lissu, Award Kalonga. Jana January 4, mwaka huu tulipokea taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuwa kiongozi wetu anahitajika na Polisi Mkoa wa Songwe kwa hiyo amepelekwa huko. Leo January 5, mapema tumefika hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Lucy Michael na wenzake wafanikiwa kudhibiti mipango ya Fr. Kitima na Askofu Ruwa’ichi kuingiza siasa za CHADEMA ndani ya kanisa Katoliki

    Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo wakiongozwa na Lucy Michael na Katekista Joseph Ludovic, waliojitokeza wazi wazi kukosoa na kupinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…