chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  2. JamiiForums Tanzania CCM kama mnaipenda sana CHADEMA jiungeni

    Kila mara CHADEMA! CHADEMA! CHADEMA! Mara CHADEMA hivi mara CHADEMA vile. Siku mkisikia mtu wa CHADEMA ameongea tu na kiongozi wa CCM basi Lumumba kunapikwa pilau na biriani. CHADEMA wakipita tu mitaani mnaagiza wakamatwe. Yaani ni kama vile CHADEMA ndiyo chama tawala na CCM ndiyo chama...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana CHADEMA hawajui wanachokitaka

    Makala hii imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema (25/10/2022). HESABU za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) mara zote ni kama zinakosa uhalisia, hali ambayo inasababisha wao kukwama katika kutimiza malengo yao ya kisiasa! CHADEMA ni kama hawana malengo ya muda mrefu na...
  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

    Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mashine inayopumulia CHADEMA kwa sasa ni kupinga kila kitu kwa sauti kubwa bila hivyo itapotea

    Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu. Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya muziki inavyogeuzwageuzwa, ni kama kuna namna wananchi wananogewa na mziki wao. Nimefikia kufikiri hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Haya CHADEMA njooni Tusemezane. Wala haina haja ya kupapasana mgongoni Ukweli ni Upi?

    Karibuni weekend nadhani ipo njema kabisa. Sasa ,mimi nimewaita kwa issue moja tu muhimu. Msikasirike sisi watu wenye Ubara ndani yetu huwa hatujui kuuma uma maneno. Nyie Watanzania wenzangu inakuaje mpaka sasa Zaidi ya Miaka 15 hamwoni haja ya kujenga Ofisi ya Makao Makuu?Mnaogopa nini? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapo kimya, CCM wanawayawaya

    CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa nongwa. CCM wanaanza kuuliza "Mbona CHADEMA wapo kimya".
  10. JamiiForums Tanzania Chuki na uoga wa CCM kwa CHADEMA ni zaidi ya chuki na uoga wa Mkoloni kwa TANU ya Nyerere

    AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni. Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

    Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

    Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo... Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle -...
  15. JamiiForums Tanzania Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

    Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano. 1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  17. JamiiForums Tanzania Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 1995: Kumbe Jakaya Kikwete alikuwa kwenye rada za CHADEMA

    Baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kufunguka kwamba kundi lake lilitaka kuanzisha chama baada ya kuenguliwa kugombea Urais Kupitia CCM Mwaka 1995, Gazeti la Raia Mwema linadokeza kwamba Mpango wa kundi la Boyz to Men ilikuwa kujiunga Chadema. Taarifa hii imenifanya niiamini, kwa sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Mbatia ailipua Serikali ya CCM, aitaja CHADEMA

    James Mbatia, kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni, ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake. Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake, japo haieleweki...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA aomba ulinzi wa Mahakama, adai ana siri nzito

    Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo. Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…