chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma: Freeman Mbowe atikisa Kasulu Vijijini, elimu ya Katiba Mpya yaendelea kutolewa

    Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea. Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Poleni sana CHADEMA kwa kuendelea kumwogopa Magufuli

    Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM. Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM. Hongera sana JPM kwa kuendelea kuwatisha CDM ukiwa kaburini. Kivuli chako kinawatisha CDM mpaka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaukwepa sana mkoa wa Kilimanjaro na Sabaya Hayupo?

    Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana. Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa Kulikoni? Nawatakia Sabato Njema!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

    Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi mna imani kubwa na Chadema. Itaendelea kuwatetea japokuwa sasa asali ni kigingi

  8. JamiiForums Tanzania Mpina vs CHADEMA nani zaidi?

    Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta. Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye...
  9. JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  11. JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

    Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu. Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima. Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika. Lema ametoa ushauri huu twitani. =========
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kuzusha Serikali umetumia Tsh 300 bilioni kutengeneza Mabango ya Rais Samia nashauri Wenje akamatwe na kuhojiwa

    Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa kodi. Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka. Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri...
  14. JamiiForums Tanzania Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

    Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea. Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

    Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob. Mmeshaharibu upepo!
  17. JamiiForums Tanzania Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

    Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe. Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

    Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani! Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…