chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  2. Join the chain ya Chadema ni zaidi ya mpango mkakati hongereni sana!

    Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi. Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya...
  3. CHADEMA hongereni kwa kukusanya mil 250 kwenye matembezi ya join ze chain

    Kama kwa siku moja tu huko kunduchi mmekusanya mil 250 basi nawapa pongezi kubwa sana. Mkikomaa namna hii mtapata zaidi ya bil 8 kwa mwezi. Siasa sio uadui hongereni sana.
  4. Mbowe akataliwa Dar es Salaam! CHADEMA imekufa rasmi....

    Leo kulikuwa na tukio la Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao Mbowe. Lilikuwa ni tukio linaluhusu zaidi ushiriki wa watanzania. Cha ajabu na masikitiko makubwa, hakukuwa na muitikio wa wananchi. Watu hawana habari na Mbowe kama hakijatokea kitu. Namshauri Mbowe akatubu kwenye kaburi la Magufuli.
  5. Uzuri wa Chadema ni wanafiki!

    Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa. Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai...
  6. Pesa inatafutwa mguu kwa mguu ( CHADEMA Kazini )

    Ila ndio hivyo, ukisikia pesa inatafutwa. Hapa Wananchi hawana Maisha magumu tena
  7. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

    "JPM ALICHELEWA KUWA RAIS WETU" Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonyesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado tulihitaji...
  8. Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao. Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
  9. CHADEMA wanaongoza sana siasa za Tanzania, leo mkutano wa TCD umepoa

    Waswahili wanasema hata kama humpendi sungura basi sifia hata mbio zake. Ukweli ulio wazi CHADEMA wanaziongoza sana siasa za Tanzania. Vyama vyote vimeshiriki hadi chama tawala lakini mkutano wa leo (Aprili 5, 2022) wa TCD umepoa sana na hata waliopo huko hawana hamasa ni kama wanapigishana...
  10. J

    Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa. Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
  11. M

    Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

    Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi. Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola. Changamkeni mtumie hii fursa.
  12. K

    Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  13. B

    Matumaini ya Wananchi waliowengi ni CHADEMA; CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na haki

    CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
  14. CHADEMA huenda ikaichukua karne nzima kufikia ushawishi huu wa CCM

    Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu, Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
  15. J

    Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

    Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni. Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha. Source: TBC
  16. CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  17. Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  18. BAWACHA yaandaa Kongamano la Join The Chain Temeke

    Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja. Hii ndio Taarifa yao...
  19. S

    CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  20. Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

    Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni. Lakini, Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…